Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

Nzuri
 
Unaweza fungua genge la vegetables and fruits.
 
Ngumu kumeza ila tamu.adui wa hii kitu ni hadhi...namshauri pia atengeneze mabarafu ya 2000 awauzie wauza samaki na kuku
 
Pia unawezakusambazia wauza juice ya miwa
 
Ngumu kumeza ila tamu.adui wa hii kitu ni hadhi...namshauri pia atengeneze mabarafu ya 2000 awauzie wauza samaki na kuku
Honestly biashara ya vinywaji naielewa sana..tusiwachukulie poa wauza maji najuice hasa pale makumbusho mmbezi mbagala k koo na tegeta nyuki
 
Hivi hizo @ alizoweka kwa kila item umeziona?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…