Ninaomba Msaada, Nina tatizo la Masikio

ydon

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
253
Reaction score
194
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 22 ninasumbuliwa na tatizo la masikio yanauma kwa ndani na wakati mwingine yanatoa uchafu japo kwa kiasi kidogo(sio usaha).

Ninaomba msaada, dawa gani nzuri kwa tatizo langu hili.

Natanguliza shukurani!
 
ahsante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…