Ninaomba msaada wa kupata chuo

Ninaomba msaada wa kupata chuo

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
694
Naombeni munisaidie jamani,nina msichana wangu nimemchumbia sasa nataka kumuendeleza kielimu yeye alihitimu kidato cha nne mwaka 2007 matokeo yake ni div 4 ya 27.sasa sijajua nianzie wapi kutafuta chuo naombeni msaada jamani .
 
Ndugu yangu Zawadi,uchumba na kusomeshana ni vitu viwili tofauti nakuonya kwamba toa akilini wazo hilo,hao watu wanageuka kama kinyonga,wapo wengi walioingizwa mjini kama wewe kwa mapenzi ya kudanganywa wakaingia kama wewe lakini waliishia kulia, Utamlipia karo atakwenda shule akikudanganya kwamba anakupenda sana lakini akishamaliza atakwambia wewe si type yake sababu ameshapata wengine huko shule anaofanana nae si wewe tena acha kabisa ndugu yangu,ni walaghai sana kwa mapenzi ya uongo,ukimtajia kwamba ulimsaidia atakwambia sema gharama zako nikurudishie UTALIA ACHA ULIMBUKENI
 
Back
Top Bottom