Ninaomba msaada wa mawazo yenu


sio bure aisee kuna kitu utakuwa unakipata kutoka kwa huyo mdogo wako aisee. au kuna faida fulani unaipata sio bure
kwani ww unaishi na nani? umeolewa au laa huna ndugu wengine ??
mbona napata mashaka ila kama hupati chochote aisee una roho ngum sana maana duuu
 
yaelekea wewe ni fogo sana mkuu?sasa hzo pesa unazotaka kuzipoteza hapo kwa huyo mdogo wako kwa kumlipia ada c ni bora ukasaidie watoto yatima na mungu atakubariki?

asante mwaya ila matendo ya huruma nilishayafanya nilichukua mtoto yatima msimbazi akiwa mdogo wa miaka miwili sasa ni mkaka wa miaka sita na yuko dalasa ya pili, asante
 

tumezaliwa watatu mimi ni wakwanza wapili ni yeye na watatu yuko india anasoma, nimeolewa
 

sina ninachopata zaidi ya majanga tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…