Uzzi
Nimefanya kipimo chapili ni hcho chenye round kimeonesha Safi,
Na kwa kawaida hicho kipimo hakiwezi onyesha huna wakati unayo.Uzzi
Nimefanya kipimo chapili ni hcho chenye round kimeonesha Safi,
Kumbe unavyo vingi naomba kimoja bhas liborioUzzi
Nimefanya kipimo chapili ni hcho chenye round kimeonesha Safi,
ALOgarithms ya Tz unatakiwaa uwanzee na SD bioline then Determine kisha Un gold aiseePole sna ila wacha kupanic kiukwel hio procedure ki sheria inatakiwa ianze na series ya tanzania hiv national alogarithms ambayo ni determine ikifuatiwa na bioline
Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukipima ktk hivyo vipimo kila mda ukienda mstar wa reaction ndo unakoza zaid ila haitobadilika km negative kua postive au vice versa labda uwe umesoma wrong kwa kuona kitu km mstar na kumbe sio real test line sasa unachotakiwa kufanya ni bora kupima tena upya tena ningekushauri uanza na determine hizi za kawaida sio hizo ulizoweka hapa nikiweza nitakuwekea picha hapo chin kwani hizo ni more sensitive na zitakupa result mzur pamoja na good visual
umeongea la maana na hicho ndo kipimo sahihi kinachotumiwa hospitaliniPole sna ila wacha kupanic kiukwel hio procedure ki sheria inatakiwa ianze na series ya tanzania hiv national alogarithms ambayo ni determine ikifuatiwa na bioline
Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukipima ktk hivyo vipimo kila mda ukienda mstar wa reaction ndo unakoza zaid ila haitobadilika km negative kua postive au vice versa labda uwe umesoma wrong kwa kuona kitu km mstar na kumbe sio real test line sasa unachotakiwa kufanya ni bora kupima tena upya tena ningekushauri uanza na determine hizi za kawaida sio hizo ulizoweka hapa nikiweza nitakuwekea picha hapo chin kwani hizo ni more sensitive na zitakupa result mzur pamoja na good visual
Ila kinaweza onyesha unayo but unashauriwa ukacheki kwa vipimo vingine maana any STIs kinasense postive
duh!hiyo inaitwa UTATA WA HIV/AIDS!!!
cc- [HASHTAG]#kaveli[/HASHTAG]
Mmhhh nakushauri nenda hospitali kubwa ukapimwe amini hivyo kuna vipimo vya aina mbili huwa wanatumi wanatumia cha kwanza na kingine sijui wanakiita biolineNinaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAIView attachment 472524
Wewe aende hosp za serikali huwa wanatumia vipimo vya aina mbili kujiridhishaAsante pia kwa Ushauri wako
Doctor keshakuambia sasa unataka nini tena? Hata ungekuwa na ukimwi si sawa tu unataka uishi mpk lini?
hiyo inasoma HIV postive mkuuPole sna ila wacha kupanic kiukwel hio procedure ki sheria inatakiwa ianze na series ya tanzania hiv national alogarithms ambayo ni determine ikifuatiwa na bioline
Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukipima ktk hivyo vipimo kila mda ukienda mstar wa reaction ndo unakoza zaid ila haitobadilika km negative kua postive au vice versa labda uwe umesoma wrong kwa kuona kitu km mstar na kumbe sio real test line sasa unachotakiwa kufanya ni bora kupima tena upya tena ningekushauri uanza na determine hizi za kawaida sio hizo ulizoweka hapa nikiweza nitakuwekea picha hapo chin kwani hizo ni more sensitive na zitakupa result mzur pamoja na good visual
kapime kaka..hizo zaweza kuwa dalili za kitu kingine au mabadiriko ya mwili tuHivi na michirizi ikitokea mgongoni na vipelepele vikitokea sehemu ya chini kwenye uume wa mwanaume ..je nazo ni dalili za mtu aliyeathirika!??
Kipimo cha mimba hicho msiwe wageni wa vipimo huyo ana mimba tayarhiyo inasoma HIV postive mkuu
We huoni kama ni Alere Determine hiyoKipimo cha mimba hicho msiwe wageni wa vipimo huyo ana mimba tayar
Hivyo vipimo vyote vinapima ukimwiNinaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv