Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

Uzzi
Nimefanya kipimo chapili ni hcho chenye round kimeonesha Safi,
Na kwa kawaida hicho kipimo hakiwezi onyesha huna wakati unayo.

Ila kinaweza onyesha unayo but unashauriwa ukacheki kwa vipimo vingine maana any STIs kinasense postive
 
Pole sna ila wacha kupanic kiukwel hio procedure ki sheria inatakiwa ianze na series ya tanzania hiv national alogarithms ambayo ni determine ikifuatiwa na bioline
Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukipima ktk hivyo vipimo kila mda ukienda mstar wa reaction ndo unakoza zaid ila haitobadilika km negative kua postive au vice versa labda uwe umesoma wrong kwa kuona kitu km mstar na kumbe sio real test line sasa unachotakiwa kufanya ni bora kupima tena upya tena ningekushauri uanza na determine hizi za kawaida sio hizo ulizoweka hapa nikiweza nitakuwekea picha hapo chin kwani hizo ni more sensitive na zitakupa result mzur pamoja na good visual
607e3657b03e7403a6a30bd6e02798a9.jpg
ALOgarithms ya Tz unatakiwaa uwanzee na SD bioline then Determine kisha Un gold aisee

Ila kwasasa SD bioline ni recommended kwenyee vituo vya afyaa APA bongo na siyo DT...BT bado tunaitumia kwakisili Sana'a mzee
 
Pole sna ila wacha kupanic kiukwel hio procedure ki sheria inatakiwa ianze na series ya tanzania hiv national alogarithms ambayo ni determine ikifuatiwa na bioline
Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukipima ktk hivyo vipimo kila mda ukienda mstar wa reaction ndo unakoza zaid ila haitobadilika km negative kua postive au vice versa labda uwe umesoma wrong kwa kuona kitu km mstar na kumbe sio real test line sasa unachotakiwa kufanya ni bora kupima tena upya tena ningekushauri uanza na determine hizi za kawaida sio hizo ulizoweka hapa nikiweza nitakuwekea picha hapo chin kwani hizo ni more sensitive na zitakupa result mzur pamoja na good visual
607e3657b03e7403a6a30bd6e02798a9.jpg
umeongea la maana na hicho ndo kipimo sahihi kinachotumiwa hospitalini
 
Ila kinaweza onyesha unayo but unashauriwa ukacheki kwa vipimo vingine maana any STIs kinasense postive

Watu wanapoambiwa kuwa hivyo 'vifaa' vya kupima HIV... they are NOT 'specific' to HIV, wanabisha!

-Kaveli-
 
duh!hiyo inaitwa UTATA WA HIV/AIDS!!!

cc- [HASHTAG]#kaveli[/HASHTAG]

Hahahaa, mkuu Makuku Rey.. huo UTATA wa HIV/AIDS ni 'hell on earth'.

Ni much easier 'kupata' HIV kwenye 'vipimo'... kuliko kwenye kugonga malaya kavu kavu!

N.B: Za kuambiwa, changanya na zako.

-Kaveli-
 
Huyo yuko negative bro ila mwambie arudie kupima after one month
 
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAIView attachment 472524
Mmhhh nakushauri nenda hospitali kubwa ukapimwe amini hivyo kuna vipimo vya aina mbili huwa wanatumi wanatumia cha kwanza na kingine sijui wanakiita bioline
 
Pole sna ila wacha kupanic kiukwel hio procedure ki sheria inatakiwa ianze na series ya tanzania hiv national alogarithms ambayo ni determine ikifuatiwa na bioline
Kwa uzoefu wangu ni kwamba ukipima ktk hivyo vipimo kila mda ukienda mstar wa reaction ndo unakoza zaid ila haitobadilika km negative kua postive au vice versa labda uwe umesoma wrong kwa kuona kitu km mstar na kumbe sio real test line sasa unachotakiwa kufanya ni bora kupima tena upya tena ningekushauri uanza na determine hizi za kawaida sio hizo ulizoweka hapa nikiweza nitakuwekea picha hapo chin kwani hizo ni more sensitive na zitakupa result mzur pamoja na good visual
607e3657b03e7403a6a30bd6e02798a9.jpg
hiyo inasoma HIV postive mkuu
 
Kama una salio nipigie nikuelekeze zaid kuhusu ivyo vipimo na kama una Lin yatgo nitext nikupigiee 0719196882 au voda 0769310143
 
Hivi na michirizi ikitokea mgongoni na vipelepele vikitokea sehemu ya chini kwenye uume wa mwanaume ..je nazo ni dalili za mtu aliyeathirika!??
kapime kaka..hizo zaweza kuwa dalili za kitu kingine au mabadiriko ya mwili tu
 
Hiki kipimo cha mimba jaman bioline haiko hv hata kidogo ni prgnant test tool
 
Kipimo cha mimba hicho msiwe wageni wa vipimo huyo ana mimba tayar
We huoni kama ni Alere Determine hiyo
Au macho umeazma mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAIView attachment 472524
Hivyo vipimo vyote vinapima ukimwi
Hivyo viwili vilivyo mkono Wa kushoto kinaitwa bioline ambayo iko more sensitive hicho kikisoma negative yaan mstari ukiwa kwenye C (control ) hapo inamaanisha hauna maambukizi ila ikisoma positive yaan mstari ukiwa kwenye 1 au 2 hapo inamaanisha unamaambukizi ya virus ila sio lazima viwe vya ukimwi. Hivyo ili kuconfirm tunatumia kipimo cha uniGold ambacho kiko more specific ndo hicho kilicho mkono wa kulia hivyo hicho kikionyesha negative basi huna ukimwi ila kikisoma positive basi unamaambukizi.
Lakini nakushauri nenda hospital nzuri wakakupime kwa vipimo tofauti na hivyo.
 
Back
Top Bottom