Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

eh eh juzi ndo.mara ya kwanza napima ngwengwe baada ya.miaka 31 nilimuumiza mtu akalzimisha twende pima...dah ila niko poa...noma saa
 
cc- [HASHTAG]#kaveli[/HASHTAG][/QUOTE][/color=red]
Hii mambo huwa inamaana gani wakeup?

 
Mkuu...Kwahyo ukipima na unigold,kama ni positive inaonesha vipi na hakuna 1 na 2?


Alafu ,mfano unataka kupima ukipima direct na unigold bila kutumia determine na bioline ni sawa? [emoji87]
 
unapima ili iweje?? utakonda kwa mawazo..tulia km unao unao tu km huna shukuru mungu na utulizane sasa
 
Toeni ufafanuzi kuhusu kipimo cha UNIGOLD na je chenyewe ni specific kwa H.I.V tu?au nacho ukiwa mjamzito kinaonesha una ngoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…