Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu ya HIV

eh eh juzi ndo.mara ya kwanza napima ngwengwe baada ya.miaka 31 nilimuumiza mtu akalzimisha twende pima...dah ila niko poa...noma saa
 
cc- [HASHTAG]#kaveli[/HASHTAG][/QUOTE][/color=red]
Hii mambo huwa inamaana gani wakeup?

 
Upo sawa tunachoangalia ni mda ule reaction inapotokea maana bioline test ikikaa mda inaweza badilika badilika baada ya kupima ila pamoja na mabadiliko hayo haiwezi onyesha exactly kama una hiv na huku hauna

HIV inatokea endapo mstari utasimama kwenye 1 au 2 au vyote kwa pamoja
Mkuu...Kwahyo ukipima na unigold,kama ni positive inaonesha vipi na hakuna 1 na 2?


Alafu ,mfano unataka kupima ukipima direct na unigold bila kutumia determine na bioline ni sawa? [emoji87]
 
Ninaomba mwenye uwelewe zaidi juu yaHiv
Juzi nilipima na mpz wang cha kishangaza majb yalikuwa fresh baada ya zile dak 5 mpaka 10Ila cha kushangaza nilipoamka Asbh majb nilikuta yapo tofauti. Kiukweli poz lote liliisha. Nikamwita doctor akaniambia kuwa huwa inatokeaga. Akaja na hcho cha Pembeni kinaonesha kuwa yupo sawa. NAOMBA MSAADA WENU WADAIView attachment 472524
unapima ili iweje?? utakonda kwa mawazo..tulia km unao unao tu km huna shukuru mungu na utulizane sasa
 
Toeni ufafanuzi kuhusu kipimo cha UNIGOLD na je chenyewe ni specific kwa H.I.V tu?au nacho ukiwa mjamzito kinaonesha una ngoma?
 
Back
Top Bottom