weekend boy
New Member
- Apr 27, 2020
- 1
- 0
Ndg nipo hapa kuomba ufafanuzi juu ya hawa ALIBABA..
1.hasa ni watu gani wanafanya nao biasha(kwa kuzingatia mtaji?)..
2.je kwa namna wanavyouza reja reja bidhaa zao zitanilipa nikichukua?
[emoji120]
Pitia uzi huu
Kwa nini Watanzania hamjiungi na ALIBABA small business website - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app