Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, exchange rate inakuwa ni ya kiwango fulani cha fedha kwa njia kuu mbili;Suala la kufix exchange rate halina uhusiano kabisa na uimara wa uchumi katika nchi husika Bali linategemeana na nchi je inataka nini ktk masuala ya biashara za kimataifa hapa nazungumzia upande wa import and export
Sawa...Cheap labor
Land alienation
Starvation
Exploitation
Oppression and humiliation
Uko sahihi kabisa mkuu!Mkuu, exchange rate inakuwa ni ya kiwango fulani cha fedha kwa njia kuu mbili;
(1) Maamuzi ya serikali (Central Bank Discretion)
(2) Demand and Supply ya pesa husika katika soko.
Kwa hapa nipo sahihi ama nimekosea???
Asante sana mkuu. Sasa Kenya ametumia njia number ngapi kati ya hizo mbili hapo juu???Uko sahihi kabisa mkuu!
Katumia approach zote, sababu nchi tayari ina viwanda vingi ambavyo ni mbadala wa bidhaa za kuagiza nyingi, pia Hana demand kubwa for foreign currency coz kidogo anajitosheleza kwa uzalishaji, pia ktk hilo kaua ndege wengi kwa jiwe moja mfano kwa over value currency yake inafanya kuimport kuwa cheap ambapo inamsaidia kuagiza capital goods kwa ajili ya investmentAsante sana mkuu. Sasa Kenya ametumia njia number ngapi kati ya hizo mbili hapo juu???
Asante kwa ufafanuzi huu pia.Katumia approach zote, sababu nchi tayari ina viwanda vingi ambavyo ni mbadala wa bidhaa za kuagiza nyingi, pia Hana demand kubwa for foreign currency coz kidogo anajitosheleza kwa uzalishaji, pia ktk hilo kaua ndege wengi kwa jiwe moja mfano kwa over value currency yake inafanya kuimport kuwa cheap ambapo inamsaidia kuagiza capital goods kwa ajili ya investment
Exportation Vs importation of goods and servicesNi kitu gani kina ipa thamani pesa?!!
Kama ntakuwa nimekuelewa swali lako je unatamani kufahamu ni kwa nini Japan kadevalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama euro au usd, kama ni hivyo inaweza ikawa ni sababu labda ya kuteka soko la ulaya na America coz kwa devalue currency yake bidhaa za Japan zinakuwa cheap ambapo export unakuwa kubwa na automatic inamkuzia foreign reservesAsante kwa ufafanuzi huu pia.
Sasa vp kuhusu Japan, wametumia njia ipi kati ya hizo hapo juu ili kuweza kufikia "exchange rate" ya kiasi hicho cha fedha???
Ndio mkuu, hili ndio swali langu la msingi...kwa nini Japan kadevalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama euro au usd
Nimeelewa na maelezo yako pia. asante mkuu...inaweza ikawa ni sababu labda ya kuteka soko la ulaya na America coz kwa devalue currency yake bidhaa za Japan zinakuwa cheap ambapo export unakuwa kubwa na automatic inamkuzia foreign reserves
Mkuu, Japan aki-devalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama USD na Euro, automatically anakuwa ame-devalue mpaka na fedha za walalahoi wa huku Afrika? Au sio?kwa nini Japan kadevalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama euro au usd
Ndio ni kwa currency zote duniani inakuwa applicable ingawaje dhumuni lake kuu inaweza ikawa kwa ukanda fulani au specific country!Mkuu, Japan aki-devalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama USD na Euro, automatically anakuwa ame-devalue mpaka na fedha za walalahoi wa huku Afrika? Au sio?
PointKama ntakuwa nimekuelewa swali lako je unatamani kufahamu ni kwa nini Japan kadevalue currency yake dhidi ya currency kubwa kama euro au usd, kama ni hivyo inaweza ikawa ni sababu labda ya kuteka soko la ulaya na America coz kwa devalue currency yake bidhaa za Japan zinakuwa cheap ambapo export unakuwa kubwa na automatic inamkuzia foreign reserves
Hio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika
Pesa zenye thamani dunia ni
USD Dollar
Pound ,etc
Hizo nyingine sijui naira, Japan yen, rand (South africa) ni pesa za kawaida sana kiuchumi, ndio maana unaona zinarange sawa
Japan haina nguvu kiuchumu kias kwamba pesa yake inawezakuwa na dhaman kuzid Dollar, haina tamko lolote linaloweza kupandisha au kushusha exchange rates kama marekan
Hio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika
Pesa zenye thamani dunia ni
USD Dollar
Pound ,etc
Hizo nyingine sijui naira, Japan yen, rand (South africa) ni pesa za kawaida sana kiuchumi, ndio maana unaona zinarange sawa
Japan haina nguvu kiuchumu kias kwamba pesa yake inawezakuwa na dhaman kuzid Dollar, haina tamko lolote linaloweza kupandisha au kushusha exchange rates kama marekan
Mkuu Blac kid nimekuelewa sana kuhusiana na suala la kushusha thamani ya fedha ya kigeni kwa maamuzi ya serikali ya nchi husika.Hapo Japan wameshusha currency yao ili waexport more than importing