Ninaomba Ufafanuzi wa Kitaalam: Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali?

Ok ok. Na ku import or export ni hivi hivi vibiashara sisi tunavyofanya au ni biashara inayofanywa na government tu.
Meaning mimi na export viungo vya spices nje. Je nachangia na mimi kuimarisha exchange rate!
 
Ndugu yangu Denis Alphonce hizi kauli zako mbili zinajikanganya sana (Both are self contradictory)

Nchi za ghuba ya uajemi na mataifa ya mashariki ya Kati ni wazalishaji wa kubwa wa petroleum products bidhaa hizi Zina soko kubwa na uhitaji mkubwa ktk soko la Dunia ndio sababu pesa yao Ina nguvu
 
Ijapan ni big automobile producer, meli na bidhaa za kieletronics bidhaa hizi Zina ushindani mkubwa katika soko la Dunia kwa hio benki kuu ya Japan huwa wanashusha thaman ya pesa
Magari ya kijapan pamoja na spare parts zake huuzwa kwa dollar (USD). Hapa pia unatofautiana na ndugu Blac kid ...
 
Uko sahihi kabisa, lkn kwa mazingira ya Kenya soko lake kubwa la consumer goods lipo Africa ndo maana kaipa value currency yake ili apunguze gharama za uagizaji wa capital goods ambazo zinazalishwa kwa wingi Asia na ulaya, so ana uhitaji mkubwa wa capital goods ili akuze investment/import substitution industries. Kumbuka Kenya hata aki-devalue currency yake ili abust export ya his industrial products nje ya Africa nakuhakikishia hawezi kushindana na bidhaa za Asia wala ulaya, sanasana labda atauza agricultural products ambazo kule wanazitegemea kama raw material ya viwanda.
 
Ok ok. Na ku import or export ni hivi hivi vibiashara sisi tunavyofanya au ni biashara inayofanywa na government tu.
Meaning mimi na export viungo vya spices nje. Je nachangia na mimi kuimarisha exchange rate!
Ndio mkuu biashara zote either iwe imefanywa na individual or government inachangia kukuza au kupunguza akiba ya foreign currency, hata wewe kuuza viungo umechangia kuingizia nchi foreign currency, make Mteja wako huyo alikuja na dollars zake akaichenji kuwa tzs pale BOT au bureau de change!
 
Kwa sababu Yen moja ya Japan inakaribia sana shilingi moja ya Kenya
 
Magari ya kijapan pamoja na spare parts zake huuzwa kwa dollar (USD). Hapa pia unatofautiana na ndugu Blac kid ...
Hajatofatiana na Mimi hata kidogo labda wewe ndo hujamuelewa , kumbuka Japan anaihitaji mno dollars make ndo ni currency ya dunia ingawa haijawekwa rasmi, so wewe ukienda Tokyo na tzs shillings halafu mie na dollars tunataka tuzichenji into yen ili tununue bidhaa, mie mwenye dola ndani sekunde mbili ntakuwa nishahudumiwa ila wewe mwenye shillings ukimaliza wiki hujahudumiwa wala usishangae make itabidi wamsake dealer wa kijapan anayeimport korosho huku bongo
 
Ok ok. Na ku import or export ni hivi hivi vibiashara sisi tunavyofanya au ni biashara inayofanywa na government tu.
Meaning mimi na export viungo vya spices nje. Je nachangia na mimi kuimarisha exchange rate!
Rais Magufuli ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Magufuli kwa kuwatumikia Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…