Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Magufuli la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.Sawa mkuu nimekusoma kwa mbaaaali kidogo. Ila umefafanua vizuri sana...
Magufuli anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Ndugu zangu wa Tanzania;
Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?
Tazama picha hapo chini tafadhali;
View attachment 1542057
Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Mkuu hapa umemaanisha kama vile ni nguvu ya soko ndo inaamua thamani ya fedha katika hizo "tiger economies".Ili kupush thamani yako ya fedha juu inatakiwa uwe na producer wa necessary goods Kama mafuta ni mawazo tu sijapingana na wewe Ila tiger countries Wana viwanda vingi lakin thaman za pesa zao niza kawaida ni kwa sababu bidhaa wanazotengeneza sio necessary na bado zinaushindan ktk soko la Dunia
Mbona unapanic? hupendi maendeleo anayoleta Rais Magufuli.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Ndugu zangu wa Tanzania;
Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?
Tazama picha hapo chini tafadhali;
View attachment 1542057
Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Exchange rate ni kiasi ambacho fedha moja cdomesic currency) inaweza nunua fedha nyingine(foreign currencies). Tuna Sina kuu mbili za exchange rate, fixed/pegged exchange rate, hii inapangwa na Benki kuu ya nchi husika(central bank) kulingana na mahitaji ya kiuchumi ya nchi husika mfano kuongeza "imports" na kupunguza "exports" na floating/ fluctuating exchange rate, hii inaongozwa na nguvu ya soko" interactions of forces of demand and supply" . Yawezekana central bank ya Kenya imeweka juu pesa yake (currency appreciation) mpaka kukalibiana na Japanese yene kwa sababu zake na sio kwamba chumi zao zinalingana au zimekalibia kulingana.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Ndugu zangu wa Tanzania;
Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?
Tazama picha hapo chini tafadhali;
View attachment 1542057
Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Exchange rate ni kiasi ambacho fedha moja cdomesic currency) inaweza nunua fedha nyingine(foreign currencies)kuna aina kuu mbili za exchange rate, fixed/pegged exchange rate, hii inapangwa na Benki kuu ya nchi husika(central bank) kulingana na mahitaji ya kiuchumi ya nchi husika mfano kuongeza "imports" na kupunguza "exports" na floating/ fluctuating exchange rate, hii inaongozwa na nguvu ya soko" interactions of forces of demand and supply" . Yawezekana central bank ya Kenya imeweka juu pesa yake (currency appreciation) mpaka kukalibiana na Japanese yen kwa sababu zake na sio kwamba chumi zao zinalingana au zimekalibia kulingana.
Pesa yenye thaman zaid duniani niHio ni exchange rate ya leo, muda wowote inabadilika
Pesa zenye thamani dunia ni
USD Dollar
Pound ,etc
Hizo nyingine sijui naira, Japan yen, rand (South africa) ni pesa za kawaida sana kiuchumi, ndio maana unaona zinarange sawa
Japan haina nguvu kiuchumu kias kwamba pesa yake inawezakuwa na dhaman kuzid Dollar, haina tamko lolote linaloweza kupandisha au kushusha exchange rates kama marekan
Acheni kuweweseka nyie Wapinzani. Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu.Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo tujadili kidogo changamoto za maisha katika jamii tunamoishi.
Ndugu zangu wa Tanzania;
Kwanini "exchange rates" kwa fedha za Japan na Kenya zinataka kufanana ilhali chumi zao zinatofautiana kwa mbali sana?
Tazama picha hapo chini tafadhali;
View attachment 1542057
Mimi kwa u-mbumbumbu (ulimbukeni/ujinga) wangu bado kidogo niropoke eti uchumi wa Japan na Kenya unafanana. hahahahaaa Hakika ujinga ni mzigo. Ninaomba msaada wa ufafanuzi wa kitaalam please.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ngoja wataalam wa finance waje kukupa ufafanuzi mzuri bro.Kwanini wana value fedha dhidi ya USD ambayo thamani yake kihalisia ipo chini kuliko Pound Sterling
aiseeChadema Siasa za kihuni zimepitwa na muda ombeni msamaha kwa Rais Magufuli.
Duuuh, sawa mkuu.Acheni kuweweseka nyie Wapinzani. Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu.
Sawa mkuu...Walichofanya wakenya ni kupunguza sufuri kadhaa katika hela yao,yan hela hiyo unayoiona hapo si thamani yake halisi,ni kama walivyofanya zambia kwenye hela yao(kwacha),