Kama ndiyo kupata uongozi ndiyo ulivyo tunaelekea pabaya. Katika zoezi la kura ya maoni Jimbo la Rorya RUSHWA ilitawala kwa kiasi kikubwa.
Kwa sasa kupata uongozi katika nchi hii aidha uwe Tajiri, uwe na connection na mengineyo mengi. Asilimia kubwa ya watia nia walioongoza kura za maoni walitoa rushwa kubwa.
Soma Pia: Chege Wambura aongoza kwa kura 7,866 jimbo la Rorya - Mara
Nawaomba uongozi wa CCM Makao Makuu wafuatilie yaliyotokea Jimbo la Rorya kama yule aliyongoza kwa kura aliongoza kihalali.