Lingekuwa n swala la wao kuamua, nadhani wengi sana wangekuwa kwenye ndoa zao.34 Bado uko single, olewa akili ikukae sawa
Hama mkoa/kanda.Nilishalima vitunguu ila sikupata mafanikio. Bali napenda sana ukulima. Sana. Sijakata tamaa ramani zikisomeka tena nitarudi huko huko kwenye kilimo
[emoji23][emoji23]Karibu Tanzania mtu anatafuta ushauri wa namna ya kijikwamua kiuchumi anaambiwa aolewe kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]