Ninaombeni ushauri, ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?

Ninaombeni ushauri, ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?

Asante kwa Bandiko lako Mkuu.

Wajuzi wanakuja kukupa miongozo.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mbuzi,Ng'ombe,Nguruwe kukutana nao wanazurula hovyo ni kawaida.....nje ya nyumba mtu Kalima mahindi kama kijijini.....yaani Mbeya kuwa jiji naona ilikuwa kisiasa zaidi
 
Ni kama Dodoma tu ilivyofanywa jiji.
 
Hii nchi maamuzi yake hayazingatii vigezo vyovyote vya kitaalam ila popote penye masilahi binafsi jambo linatiki, hata kesho Namtumbo inaweza kuwa jiji.
 
Mpangilio wa mji haupo, ujenzi holela Kila Kona, uchafu mji mzima, kelele mji mzima,
juma_zuberi_homera_1720609958796204.jpg
 
Nimeishi mbeya, ni jiji ambalo lipo nyuma sana kimaendeleo. Songea wamepiga hatua sana
 
Una vituko! Chunya hakuna maji safi na salama, hakuna uneme wauhakika, watu wanajisaidia vichakani, hakuna Barabara za uhakika. Unaweka takwimu za fedha ambazo hazina maana Wala faida kwa wananchi.
Chunya ni Kijijini hata mkinywa mkojo wa punda ni sawa,hoja ni Mbeya Jiji
 
Back
Top Bottom