Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Majengo na ukubwa wa eneo, Ina vijiji vingi sana kwa hio ukiviunganisha unapata Jiji, uliza swali lingine pale nyuma naona umenyosha kidole eeh Wewe Mama mwenye beseni la Mboga Mboga uliza swali wasimizi mpeni Maiki yule Mama pale eeh huyo huyoMji wa mbeya hauna miundombinu ya barabara hata kidogo!
Ni vigezo gani vilitumika mbeya kuwa jiji?