sijaelewa hapo kwenye red. ila pole sana mkuuwakuu niliajiriwa na taasisi moja ya serikali kwa mkataba wa muda flani ,lakini nikiwa kati ya mkataba siku yangu ya kazi nikiwa kazini ikatokea tukio linalohusu kazi lililofanywa na mtu mwingine chini yangu kimakosa ya kibinadamu sasa tukio lile limefanya nisitishiwe mkataba mpya baada ya ule wa awali kuisha na kuongezewa mwingine ...WANASHERIA NAOMBA MSAADA WENU MAANA NAWAZA NAMNA YA KUPATA HAKI YANGU.. nb ushahidi wa cctv ndio ulionihukumu .
Mbona haueleweki?ninachomaanisha kosa lilitokea kwenye mkataba wa mwingine mambo yakaenda nikapewa mkataba mpya then barua ya kusitishiwa mkataba imeandikwa kutokana na kosa la miezi minne iliyopita
Mi nnachojua mwajili au mwajiliwa ana uhuru wa kuterminate mkataba muda wowote. Kwa kesi hiyo nafikilia anatakiwa akulipe fidia kwa sababu kakatisha mkataba mpya katikatininachomaanisha kosa lilitokea kwenye mkataba wa mwingine mambo yakaenda nikapewa mkataba mpya then barua ya kusitishiwa mkataba imeandikwa kutokana na kosa la miezi minne iliyopita