kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
wakuu niliajiriwa na taasisi moja ya serikali kwa mkataba wa muda flani ,lakini nikiwa kati ya mkataba siku yangu ya kazi nikiwa kazini ikatokea tukio linalohusu kazi lililofanywa na mtu mwingine chini yangu kimakosa ya kibinadamu sasa tukio lile limefanya nisitishiwe mkataba mpya baada ya ule wa awali kuisha na kuongezewa mwingine ...WANASHERIA NAOMBA MSAADA WENU MAANA NAWAZA NAMNA YA KUPATA HAKI YANGU.. nb ushahidi wa cctv ndio ulionihukumu .