makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Nmekusoma mkuuNissan Patrol haifai kwa biashara hii mkuu.
Pamoja joh!![emoji106]poa mkuu, haiko mkinga.
Wazo lako ni zuri sana, una uhakika ukichukua gari 3 zote zitapata wateja? Benki nyingi wanataka Bank Statement ndiyo waamini kuwa unamzunguko wa pesa kiasi unachosema, then wanakokotoa ni kiasi gani unaweza kulipa bila kuathiri maisha yako. Kama unataka mikopo anza kuweka pesa yako benki, otherwise kama mke wako ni mwajiriwa mtumie yeye kuchukua mkopo. Lakini jambo la msingi jitahidi sana kuirasimisha biashara yako. Hebu tembelea NMB na Postal Bank, ongea vizuri na afisa mikopo.WADAU miye ni mjasiriamali nina uwezo wa kuingiza milioni 2 na pointi kadhaa kwa mwezi kwenye biashara yangu ya kukodisha gari katika hoteli hapa jijini na kuingiza wastani wa milioni 24 kwa mwaka . Nimejaribu mara kwenda Axim Bank, Finca na Akiba Commercial Bank ili kuomba mkopo wa Milioni 50 nimedunda.
Axim Bank waliniambia hawa-deal na mikopo midogo, bali wana-deal na wafanyabiashara wakubwa na kuwakopeshwa kuanzia milioni 100 na kuendelea. Akiba na Finca wao walisema hawakopeshi mtu mwenye gari moja, wananitaka niongeze gari nyingine ndipo wanikopeshe. Binafsi sina uwezo wa kuongeza gari la pili bila ya kupata mkopo. Nikawaambia wanikopeshe ili nikanunue gari la pili niliingize kwenye biashara wamekataa katakata. NIMEKWAMA. TAFADHALI nani anajua sehemu ninayoweza kukopesheka?
Wewe unataka kukopa ili uongeze magari...kwanini usiongee na wadau humu ndani wenye magari wakupe kwa mkataba ili biashara yako ikue uwe hata na ofisi ndo ukope. Acha uchoyo. Nenda kamuulize Erick wa travel partner alifanyaje???WADAU miye ni mjasiriamali nina uwezo wa kuingiza milioni 2 na pointi kadhaa kwa mwezi kwenye biashara yangu ya kukodisha gari katika hoteli hapa jijini na kuingiza wastani wa milioni 24 kwa mwaka . Nimejaribu mara kwenda Axim Bank, Finca na Akiba Commercial Bank ili kuomba mkopo wa Milioni 50 nimedunda.
Axim Bank waliniambia hawa-deal na mikopo midogo, bali wana-deal na wafanyabiashara wakubwa na kuwakopeshwa kuanzia milioni 100 na kuendelea. Akiba na Finca wao walisema hawakopeshi mtu mwenye gari moja, wananitaka niongeze gari nyingine ndipo wanikopeshe. Binafsi sina uwezo wa kuongeza gari la pili bila ya kupata mkopo. Nikawaambia wanikopeshe ili nikanunue gari la pili niliingize kwenye biashara wamekataa katakata. NIMEKWAMA. TAFADHALI nani anajua sehemu ninayoweza kukopesheka?
Haya ni mambo ya kawaida sanaaaa,... Huyu mleta mada ni mchoyo. Wasiliana nae, akizingua rudi kwangu nitakupa mahali pa kuanzia. Gari iwe ni SUV.Unakodishiaje hotel gari? Tupo hii style na bsness basi tujue maana gari inapark tu home.
May be ukiwa open nami nikukodishie upate huo mkopo
Acheni kuzingua, kila mtu ana business model yake si lazima akwambie, we mtu ashakwambia anakodisha magari kwenye Hotels mpaka akwambie anafanyaje, si uangalie hotel gani unayoijua uende hata kuonana na manager auongee naye atakwambia kama wana upungufu wa magari!! Yeye anadeal na kusafirisha wafanyakazi kwenda na kutoka nyumbani hivo obviously hatumii SUV!Haya ni mambo ya kawaida sanaaaa,... Huyu mleta mada ni mchoyo. Wasiliana nae, akizingua rudi kwangu nitakupa mahali pa kuanzia. Gari iwe ni SUV.
Hujaelewa,.. Ukiingia mkataba na hotel ya kuwakodishia magari wewe unakuja default vendor. Yaani hata wakitaka basi watakwambia upeleke. Huyo mleta mada anafanya kienyeji ndo maana anakosa hati za kuombea mkopo. Nina maana huyu Hana hata faili la invoice na tax kwa hiyo akilipwa anakula na wake zake maisha yanaenda. Lakini hajui kuwa kuna finance inst. ambazo zinakopesha kwa kuangalia biz flow. Ninajenga hoja hapa kuwa Kama akiwa na logo na akapewa magari na watu kwa mkataba mzuri ni rahisi kujiimarisha na kupata ofisi. Kama hujaelewa basi.Acheni kuzingua, kila mtu ana business model yake si lazima akwambie, we mtu ashakwambia anakodisha magari kwenye Hotels mpaka akwambie anafanyaje, si uangalie hotel gani unayoijua uende hata kuonana na manager auongee naye atakwambia kama wana upungufu wa magari!! Yeye anadeal na kusafirisha wafanyakazi kwenda na kutoka nyumbani hivo obviously hatumii SUV!
Komaa na hao hao Axim BankWADAU miye ni mjasiriamali nina uwezo wa kuingiza milioni 2 na pointi kadhaa kwa mwezi kwenye biashara yangu ya kukodisha gari katika hoteli hapa jijini na kuingiza wastani wa milioni 24 kwa mwaka . Nimejaribu mara kwenda Axim Bank, Finca na Akiba Commercial Bank ili kuomba mkopo wa Milioni 50 nimedunda.
Axim Bank waliniambia hawa-deal na mikopo midogo, bali wana-deal na wafanyabiashara wakubwa na kuwakopeshwa kuanzia milioni 100 na kuendelea. Akiba na Finca wao walisema hawakopeshi mtu mwenye gari moja, wananitaka niongeze gari nyingine ndipo wanikopeshe. Binafsi sina uwezo wa kuongeza gari la pili bila ya kupata mkopo. Nikawaambia wanikopeshe ili nikanunue gari la pili niliingize kwenye biashara wamekataa katakata. NIMEKWAMA. TAFADHALI nani anajua sehemu ninayoweza kukopesheka?
Inategemea na ukubwa wa hotel yenyewe na mahitaji. Ni kweli huyu mkuu hajarasimisha biashara yake, hilo nimelieleza kwenye post yangu ya kwanza kabisa.Hujaelewa,.. Ukiingia mkataba na hotel ya kuwakodishia magari wewe unakuja default vendor. Yaani hata wakitaka basi watakwambia upeleke. Huyo mleta mada anafanya kienyeji ndo maana anakosa hati za kuombea mkopo. Nina maana huyu Hana hata faili la invoice na tax kwa hiyo akilipwa anakula na wake zake maisha yanaenda. Lakini hajui kuwa kuna finance inst. ambazo zinakopesha kwa kuangalia biz flow. Ninajenga hoja hapa kuwa Kama akiwa na logo na akapewa magari na watu kwa mkataba mzuri ni rahisi kujiimarisha na kupata ofisi. Kama hujaelewa basi.
Nimetembea mpaka viatu vimeisha sijawaona hawa Axim....Komaa na hao hao Axim Bank
Mkuu, hotel yeyote Kama inalipa kwa cheque ni hotel.... Ila Kama unapokea hela kashi kwa dada wa mapokezi hizo ni guest house. Cha msingi anatakiwa awe na jina la biashara, awe na vitabu vya profoma na tax invoive na awe na hizo faili kwa Muda wa miez 6 akikosa mkopo kalogwa.Inategemea na ukubwa wa hotel yenyewe na mahitaji. Ni kweli huyu mkuu hajarasimisha biashara yake, hilo nimelieleza kwenye post yangu ya kwanza kabisa.
Huyu bwana ulichomshauri ni technical sana kwa mujibu wa biashara yake. Huyu amejikuta ana gari, anakodisha hotel analipwa mil2 anaona ni hela nyingiiiii. Mil2 ukiendesha mwenyewe, mafuta juu yako, service juu yako, matairi na Wageni wanataka AC, ukiwa na gari ya CC 1500 kuna nini hapo?? Mshauri arasimishe biashara, mengine matokeo.Umewahi kukopa benki?na kama hujawahi hakuna benki itakayoanza na kukupa pesa hizo nyingi wao wanachoangalia ni mzunguko wako benki hata kama una nyumba ya mil 300 unataka mil 10, punguza amount uanzie hata mil 15 then rudisha hata kwa miezi sita uombe tena
Mkuu, hotel yeyote Kama inalipa kwa cheque ni hotel.... Ila Kama unapokea hela kashi kwa dada wa mapokezi hizo ni guest house. Cha msingi anatakiwa awe na jina la biashara, awe na vitabu vya profoma na tax invoive na awe na hizo faili kwa Muda wa miez 6 akikosa mkopo kalogwa.
Nenda Eupity Hakuna longolongoWADAU miye ni mjasiriamali nina uwezo wa kuingiza milioni 2 na pointi kadhaa kwa mwezi kwenye biashara yangu ya kukodisha gari katika hoteli hapa jijini na kuingiza wastani wa milioni 24 kwa mwaka . Nimejaribu mara kwenda Axim Bank, Finca na Akiba Commercial Bank ili kuomba mkopo wa Milioni 50 nimedunda.
Axim Bank waliniambia hawa-deal na mikopo midogo, bali wana-deal na wafanyabiashara wakubwa na kuwakopeshwa kuanzia milioni 100 na kuendelea. Akiba na Finca wao walisema hawakopeshi mtu mwenye gari moja, wananitaka niongeze gari nyingine ndipo wanikopeshe. Binafsi sina uwezo wa kuongeza gari la pili bila ya kupata mkopo. Nikawaambia wanikopeshe ili nikanunue gari la pili niliingize kwenye biashara wamekataa katakata. NIMEKWAMA. TAFADHALI nani anajua sehemu ninayoweza kukopesheka?
. Ni kweli nilitaka kuanza kuwa mteja wao hata kwa miezi sita waona mtiririko wangu wa pesa then tuzungumze biashara. Katika benki niliyopo sasa wana-deal na biashara kubwa, nadhani umenipata.Umewahi kukopa benki?na kama hujawahi hakuna benki itakayoanza na kukupa pesa hizo nyingi wao wanachoangalia ni mzunguko wako benki hata kama una nyumba ya mil 300 unataka mil 10, punguza amount uanzie hata mil 15 then rudisha hata kwa miezi sita uombe tena
Pole ila kimoyomoyo unaijua.Nimetembea mpaka viatu vimeisha sijawaona hawa Axim....
. Mtanzania mwenzangu unanishangaza sana. Haya msaidie wewe banaa mwenye roho nzuri, niache na uchoyo wangu. Kwanza nilikuja kwa shida nyingine kabisa nashangaa haya yanakujaje.Haya ni mambo ya kawaida sanaaaa,... Huyu mleta mada ni mchoyo. Wasiliana nae, akizingua rudi kwangu nitakupa mahali pa kuanzia. Gari iwe ni SUV.