Ninapata milioni mbili kila mwezi nimeomba mkopo nimenyimwa

Ninapata milioni mbili kila mwezi nimeomba mkopo nimenyimwa

Nenda Eupity Hakuna longolongo
duuh hyo nayo ni bank.. au ulikua unamaanisha EQUITY BANK
a4f588b4e23c6a16f95201b96586fdee.jpg


7a09d1f4963946cb6eb75a01bcdf83bd.jpg


29a1663c00f04f52a65769e7efd9d900.jpg


Ldv Convoy, abiria 20.
 
Sio lazima uwe na hati mkuu,,kuna kitu kinaitwa residential permit(kibali cha makazi) vinatolewa kwa maeneo ambayo hayajapimwa but watu wameshayaendeleza(kwa kujenga nyumba za kuishi specifically)

Hicho kibali cha makazi kinatosha kuchukulia mkopo
Nilikwenda CRDB Morogoro mjini kwa hiyo Residential permit waliikataa.,
 
Unajua kwa nn walikwambia labda uwe na gari2?
 
Mil 2 ÷ siku 26 za mwezi = 76,000 kwa siku.

Kwenye Karatasi tamu, kwenye uhalisia je??

Mbona pesa kdogo sana hiyo! Wewe hamini nini hapo?
Hujui kuna watu wanapata mpaka million 100 kwa mwezi sasa fanya mahesabu yako upate kwa siku, na bado wapo wa juu yake
 
Back
Top Bottom