essaugervas
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 580
- 280
duuh hyo nayo ni bank.. au ulikua unamaanisha EQUITY BANKNenda Eupity Hakuna longolongo
![]()
![]()
![]()
Ldv Convoy, abiria 20.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuh hyo nayo ni bank.. au ulikua unamaanisha EQUITY BANKNenda Eupity Hakuna longolongo
![]()
![]()
![]()
Ldv Convoy, abiria 20.
Nilikwenda CRDB Morogoro mjini kwa hiyo Residential permit waliikataa.,Sio lazima uwe na hati mkuu,,kuna kitu kinaitwa residential permit(kibali cha makazi) vinatolewa kwa maeneo ambayo hayajapimwa but watu wameshayaendeleza(kwa kujenga nyumba za kuishi specifically)
Hicho kibali cha makazi kinatosha kuchukulia mkopo
Mil 2 ÷ siku 26 za mwezi = 76,000 kwa siku.
Kwenye Karatasi tamu, kwenye uhalisia je??