Ninapata tabu kuamini kama Megawat 268 zinafanya karibu nchi nzima isiwe na umeme

Hapo tunahamishwa mawazo tuache bandari tuongelee umeme ila hakuna chochote kilichoharibika. Zaidi watauza na tanEskooo waseme imeshindwa kujiendesha
 
Ongeza Unguja pia ni giza
 
Alafu eti tatizo liko ubungo lakini % ya Tanzania haina umeme
 
Rais wangu mpendwa anahujumiwa!
Ningekuwa nipo kwenye kiti chake,zamani sana ningekuwa nimekatumbua kamarope.
Sijui kana bahati gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…