Ninapata wakati mgumu na X's, nipeni msaada

Ntakufikia soon
 
Brother nilioa at 24yrs kilichonikuta naenda mwaka wa nne naishi kama sijawahi kuoa, so usifanye haraka mzee
Aisee ukweli ambao nauona ni kwamba msukumo wa ndugu unaweza kunifanya nikafanya jambo kwa kukurupuka alafu likaja kuniathiri pakubwa maishani.

Nashukuru umenipa nguvu, angalau kwenye 32 years niwe nimeshoa, kwa sasa nna 29 nadhani hii 2 years iliyobakia inabidi niwe nimeshafanya mambo kwa umakini wangu wote.

Maana naona nikiisikiliza nguvu ya ndugu inaweza kunitoa kwenye reli
 

Siku ukiwa na msimamo ndio umuoe binti wa watu, ila kama ma x bado unawatamani utamsumbua mtoto wa watu
 

 
Usiwasikilize hao uoe haraka wakusimange.... kuoa ua pale unajiskia kuoa n kabla ya kuoa chunguza tabia za demu ka demu ashatembea na madume zaid ya watano huyo hatojua dhamani ya ndoa
 
13 tu?
 
Nasisitiza hili jambo mana ni muhimu sana zingatia afya na watembezee moto ..,

Yeyote anayetaka we peleka moto..,

Atatokea mmoja ambaye utajikuta kwake umefika kiasi wengne wote utaacha na kubaki naye





Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ishu sio kutembeza moto ishu ni kurudia moto mdo naona mizinguo
 
Ukitaka mwanamke akuache usimpe hela tu hata ya nauli akija kwako
 
Usiwasikilize hao uoe haraka wakusimange.... kuoa ua pale unajiskia kuoa n kabla ya kuoa chunguza tabia za demu ka demu ashatembea na madume zaid ya watano huyo hatojua dhamani ya ndoa
Utajuaje ametembea na wanaume zaid ya watano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…