NINAPENDA BLACK & WHITE

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
thread hii inakuja kwako Kwa udhamini mkubwa kabisa wa samsung s8+!

Comrade, mtaani wanapenda kuniita mzee wa black and white!

eebanaeE! sijisifii, lakini kwa upande wa kutundika mavazi mwilini sipo nyuma, asee napenda kupiga nguo black and white! kama hapa sasa nimepiga raba kaliiii aina ya NIKE nyeupe, yenye thamani ya 80,000 za kitanzania!

oohhooo! subiri sasa nikupe vihendo!

nikiwa nimekula na modo kali nyeusi tiii, na Tshirt moja hatari sana nyeupe peeee! mkono wa kushoTo nikiwa nimepiga saa moja kali sana aina ya ROLEX!

aseee nikipita kitaa wake kwa waume wote macho kwangu kwa jinsi nilivyopigilia pamba!

asee wazee jitahin muwe mnatundika viwalo kama mimi, sio mtu unavaa nguo zina rangi rangi kama kachumbari! mwisho wa siku watu watakuita Mr.kachumbari flevaa!

mimi ndimi comrade a.k.a. MR. BLACK & WHITE.
 
Umekuja kwa kasi sana mkuu huku JF.
Kweli unauhakika kuwa utakuwa unaleta nyuzi nyingi hivi zisizo na maana/ mpangilio kila siku?
Time will tell.
Comment tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…