Utafiti ulifanywa na kuonyesha kuwa mwili wa binadamu huwa na uwezo wa kufukuza mbu. Huwezo huo hutofautiana kati ya mtu na mwingine. Watu wenye kinga ndogo huwa rahisi kwao kushambuliwa na mbu. Kwa hiyo mnaweza kuwa watu sita lkn watakao shambuliwa na mdudu huyo wakawa wawili tu.
Nitafute mimi niikomeshe hiyo Malaria inayo kuandama kila mwisho wa mwezi hutoisikia tena ukiweza kunitafuta bonyeza hapa.MawasilianoKweli mkuu mimi na malaria kila mwezi.....