Ninapendwa na mbu

Kweli mkuu mimi na malaria kila mwezi.....

Tafuta mafuta ya kupaka kwenye maeneo wazi ya mwili hawatakupata,nenda mlimani city pharmacy kama upo Dar wanayo,inasaidia sana hawatui kabisa kwenye ngozi.
 
hii nzuri sana... natural repellant
 
Nami mnisaidie kisayansi kwanini mbu huvutiwa sana kwenye masikio ya binadamu yaani arukapo basi lazima apitie kwenye sikio na kujiliza kabla ya kuamua kutua sehemu nyingine ya mwili.Kuna uhusiano gani wa harufu ndani ya sikio na mbu?
 
Nadhani huwa anaruka sehemu zote..ila kwa vile sisi husikia kutumia maskio basi akipita tu hapo unahisi huwa anazungazunga hapo hapo....!! Ni gues work yangu tu si sayansi.
 
Mbu wanashambulia zaidi mtu mlevi na Mama mwenye mimba. Hiyo inatokana na damu zao kuwa na virutubisho vinavyosaidia mayai yao kurutubika vizuri, kwa hiyo kiasili huwa wanao uwezo wa kuwatambua watu wa namna hiyo.

Alaaaa.... Kumbe eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…