Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.
 
Hawa ndio wanawake wanaostahili kushikwa mkono sio wale wasiohitaji msada Bali wako kuleta tafrani mitaani na Kwenye familia ndio unashangaa wanapewa misada na hela za mama
 
Post Graduate Diploma?

Unazidi kujichanganya Mkuu.

Mimi sikuzibii riziki, ila najaribu kukudadisi ili kuweka msawazo.

Maelezo yako yana ualakini mwingi.
Mwanzoni nilikuwa namuhurumia lakini tayari kaishajichanganya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…