DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kama mtamsaidia huyu tapeli na mimi siku moja nitasuka uzi wa matatizo mtahangaika kunisaidia mtauza mpaka nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haija make sense uyo dada anaonekana tapeli walah😀😀😀😀Hayajakukuta mkuu halafu mleta uzi ni Dada uwezo wa kustahimili mambo ni tofauti na wewe
Hata mimi nimemuuliza hilo,naona kmya hadi sasaUDSM hawatoi Diploma ya Education
Ukiunganisha dot I'd ya manyanza ndio ilipendekeza tumchangie yule dada aliyedai eti ametapaliwa na sister 😀😀😀Acha kutetea matapeli
1. Sasa kama umesoma ilikuwaje kutumia vyeti feke?
2. Hivi toka lini UDSM wakatoa diploma ya ualimu?
Nakuona kama muongo Fulani hivi!!
Mwanangu Nimecheka kifala Sasa binti ndo anamiaka 20-22 unafikiri atakubali kuolewa na ukimuuliza Y anakwambia she is not ready labda mpaka 27 and above ndo wataolewa Yan wanajipangia kabisaNa katika kuwakumbusha members warembo wa jf, ambao saiz ni pisi kali.
Katika age hii, kama hujaolewa ni kipindi kigumu sana maishani.
Kuna baridi nyingine itakupiga hutoamini, tutakua tukikutaza nje una tabasamu tele, lakini ndani rohoni utakua na maumivu hayaelezeki.
Kila siku unaona jirani zako wanagombana mara wanabebishana na waume zao, wewe umekaa hapo pembeni unabwekewa tu kimbwa chako ki chihuahua.
Wadogo zangu wa kike, mjinga mmoja wa kiume akitokea anataka kukuoa usijifanye bado unakula ujana, kuna kipindi hata uliowakataa utawakumbuka na hautowapata.
Mungu akikujalia ukawa na visenti ndio utaishia kuwa mshangazi, unachukua vitoto vya wanawake wenzio unavivulia chupi, unavinyonya vyota zao tu.
Pole sana binafsi imeniuma sana, swali je una kitambulisho cha Taifa? maana zama hizi kwanza kitambusho cha Taifa kina majina yanayofanana na vyeti?Atakua kasoma usdm ya doto magari [emoji1787]na sio udsm hii tinayoijua(Duse)
Elimu yetu kivyetu vyetu Chief!Ila wewe dada mwongo sana! Una diploma ya education ambayo uliipata pale UDSM baada ya kujiendeleza. Hapa sasa unasema una PGD ya Education. Ni wapi ambako mtu alitoka certificate akaenda kusomea PGD? Rekebisha kwanza wasifu wako!
Niache, mtoa mada kanichafuaDaddy....
Hujawahi kuolewa?Mungu akinipa muhitaji, nitaishi nae.
Ila kwa hali hii na umri huu nadhani sijui kama itawezekana.
Umri umeshaenda sana.
Una uhakika au unasikiliza kauli za Majukwaani kutoka kwa wanasiasaRais Samia aliwapa kiinua migongo wafanya kazi feki,wewe hukupewa? Kama ulifanya kazi Kwa miaka SITA namimi ulilipwa zaidi ya 10M ulipeleka wapi?
Si kweli uyasemayo hapa
Wengi wa ngazi za chini walipata pesa ndogo sana chini ya 6M.Rais Samia aliwapa kiinua migongo wafanya kazi feki,wewe hukupewa? Kama ulifanya kazi Kwa miaka SITA namimi ulilipwa zaidi ya 10M ulipeleka wapi?
Si kweli uyasemayo hapa
😁😁😁😁Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.