Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Pole sana dada angu,Mungu ni mwema na atakusaidia utainuka tena,ila naomba nikuulize kidogo km hutojali,hivi UDSM wanatoa kweli Diploma ya Education?
 
Pole , ila wew ni mjng san, ulivyodanga ungefungua biashara ungekuw umejiajir.

Uza nyumba hyo pesa ndio mtaji uanze biashara
 
Acha kutetea matapeli
Ukiunganisha dot I'd ya manyanza ndio ilipendekeza tumchangie yule dada aliyedai eti ametapaliwa na sister 😀😀😀

Inawezekana wanakakindi wamekaunda kwa Ajili ya kupiga pesa😀😀😀

Time will tell insict zinaniambia yule dada % ni tapeli smart

Nimetrace kuna uzi alipandisha rafk yake kamtepeli 😀😀😀
 
Na katika kuwakumbusha members warembo wa jf, ambao saiz ni pisi kali.

Katika age hii, kama hujaolewa ni kipindi kigumu sana maishani.

Kuna baridi nyingine itakupiga hutoamini, tutakua tukikutaza nje una tabasamu tele, lakini ndani rohoni utakua na maumivu hayaelezeki.

Kila siku unaona jirani zako wanagombana mara wanabebishana na waume zao, wewe umekaa hapo pembeni unabwekewa tu kimbwa chako ki chihuahua.

Wadogo zangu wa kike, mjinga mmoja wa kiume akitokea anataka kukuoa usijifanye bado unakula ujana, kuna kipindi hata uliowakataa utawakumbuka na hautowapata.

Mungu akikujalia ukawa na visenti ndio utaishia kuwa mshangazi, unachukua vitoto vya wanawake wenzio unavivulia chupi, unavinyonya vyota zao tu.
Mwanangu Nimecheka kifala Sasa binti ndo anamiaka 20-22 unafikiri atakubali kuolewa na ukimuuliza Y anakwambia she is not ready labda mpaka 27 and above ndo wataolewa Yan wanajipangia kabisa
 
Ila wewe dada mwongo sana! Una diploma ya education ambayo uliipata pale UDSM baada ya kujiendeleza. Hapa sasa unasema una PGD ya Education. Ni wapi ambako mtu alitoka certificate akaenda kusomea PGD? Rekebisha kwanza wasifu wako!
Elimu yetu kivyetu vyetu Chief!

Erick Shigongo hana CSEE wala ACSEE ila mwaka jana kahitimu Masters Degree.

Ni std 7 failure to Bachelor's ambayo alipata daraja la kwanza!

Labda umewahi kuwepo utaratibu huo ukizingatia ana 42yrs.

Atolee ufafanuzi tu.
 
1. Ulihitimu form four. Lakini Cheti chako kikachomwa moto na mfanyakazi wenu nyumbani.

2. Baada ya miaka mitatu kupita, ukanunua O-level Certificate ya mtu mwingine. Ukatumia Certificate hiyo ya kununua ukasoma ngazi ya Cheti na Diploma ya Ualimu at UDSM. Ukaishia hapo kitaaluma.

3. Ukapata ajira ya ualimu serikalini.

4. Ukatumbuliwa kazini kwa fagio la vyeti feki.

5. Ukaanza uchangudoa. Umeuza papa kwa kipindi cha miaka 6.

6. Diploma hiyo uliyosoma UDSM ni "Post Graduate Diploma in Education (PGDE)".

Nonsense & stupid. Kamba tupu! 😎

-Kaveli-
 
Naomba ufanye jambo moja utapata majibu mazuri leoleo Mungu wetu ni mwenye huruma. Mwombe Mungu aliye ziumba mbingu na nchi. Mwambie Mungu naomba nitoe roho ya hofu na wasiwasi naomba roho ya ujasiri. Naomba fungua milango yangu ya kiuchumi iliyofungwa. Omba kwa muda mrefu mpaka utakapo ona umepata amani baada ya hapo tulia kusubiri majibu mazuri kutoka kwa Mungu. Katika maombi ya hakikisha umevaa roho ya haki unapoanza kufanya maombi ambapo unaweza kuanza kwa maombi ya toba kwanza.
 
Rais Samia aliwapa kiinua migongo wafanya kazi feki,wewe hukupewa? Kama ulifanya kazi Kwa miaka SITA namimi ulilipwa zaidi ya 10M ulipeleka wapi?

Si kweli uyasemayo hapa
Wengi wa ngazi za chini walipata pesa ndogo sana chini ya 6M.
Kuna mdau alipata 2M, hapo pigia hesabu kusomesha, kujenga, matibabu, chakula na n.k.
 
Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.

Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.

First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.

Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.

Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.

Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.

Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba

Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.

1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.

2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.

Asanteni.
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom