Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa. Mwisho wa siku unaishia kuuza kiwanja na nyumba ambayo haijaisha.Huenda shida ipo pia kwenye vipaumbele vyake.
Kujenga kama bado unajitafuta daah inakuaga msala kinoma.
Jamani .asante kwa kujali best yangu.ningehamia mjengoni mie .wala nisingewaza na mjengo umetulia pale.Nimekuja mbio kujua nini tena kimemkumba my Miss Natafuta
Mungu akupe hitaji la moyo wako.Pokea kadiri ya Imani yako. All in all usikate tamaaHabari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Pole sana. I hope utafanikiwa katika hili. Mungu yupo karibu sana na wampendao.Habari wana Jf kwa ujumla.

Nashangaa watu wengi wanampa pole wakati huyo mpuuzi ameandika upumbavu wake, sasa nawaza n kwamba hao watu wote hawajasoma mada au vp.anadai alishawahi kuwa changudoa kwa miaka 6 hapohapo anakwambia anaweza kulea watoto kama yaya
Mkuu wanawake wengi wanajiuza indirect hata maofisini tupo nao wengiHakuna justification yeyote ya mwanamke kujiuza
Ushauri mzuri,huuu nimeupendaNaweza saidia mdogo wa kusoma kupitia ufadhili fulani, fanya hivi:
1. Sema Shule anayosoma.
2. Kidato na darasa.
Usiseme jina mimi nitamsaidia kupitia Shule!
Hayo mambo ya kujenga sijui mnayakimbiliaga ya nini; hayana maana kabisa Kama una struggle!
Asante!
Hiyo inaitwa "gusa unase" 🤣Oyaaa mzeiya hapa kuna usalama kweli 😂😂😂 Mzee wa kupambania
Upo makini mkuu, Safi sanaMleta uzi ni tapeli asiye na akili.
Ili uwe tapeli tena wa kuwatapeli wanaJF, basi uwe guru katika kutengeza uongo unaoendana na ukweli kwa zaidi ya 90%. Basi hata uchukue hela zao ila ukitumia akili nyingi katika strategy zako.
Haiwezekani abadani ukasoma UDSM Diploma.
Nimeuliza anasema eti ni PGD.
Post Graduate bila Degree? Ama bila Advanced Diploma? Aisee!.
Anachodai alitumia cheti cha mtu kwa sababu chake kiliteketea, hii inamake sense kwa wapuuzi wenzake tu.
Anadai wazazi wake walimuacha na mdogo wake. Huku gap yake yeye na mdogo wake wa KIPEKEE ni zaidi ya miaka 25, hii inakuingia akilini? Kama ndiyo, basi wewe ni mpuuzi pia.
Mtoa mada, anatumia sensitiveness ya swala la kujiuza. Kuwa idadi kubwa ya wanajamii hawawezi na kamwe wasingetaka mtu aliyeacha kujiuza ila arudi huko. Hivyo, anataka huruma ya jamii juu yake.
Huu ni ukuda. Upumbavu wa ajabu.
Hayuko sawa kisaikolojia. Usiwe mwepesi wa kuhukumu
hahah kawaida ya walevi ni kuokota ganda loloteAcheni hizi mkuu walevi tumeshatoa msaada kitambo😁
ana nia ovuNashangaa watu wengi wanampa pole wakati huyo mpuuzi ameandika upumbavu wake, sasa nawaza n kwamba hao watu wote hawajasoma mada au vp.
Hapo familia nzima mnaungwa kwenye gridi ya taifa, saa 24 mwanga wa tanesco unawaangazia na mnapewa bonus ya nyumba kuwa danguro
Pole mkuu.Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Yn mtoa mada na hao wanaompa wote wapumbavu tuuana nia ovu
ni hatari sana kukaribisha yaya wa historia hii awe kakwambia mwenyewe au kwa kusikia tuh