Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Kikubwa usiwqze kujiua bhas mengine yatakaa kwenye mstari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anadai alishawahi kuwa changudoa kwa miaka 6 hapohapo anakwambia anaweza kulea watoto kama yayaMtoa mada ww n mpumbavu kama wapumbavu wengine.
Na nyie vidampa mnafanya kwa sababu ya nini? 😹A whore will do anything for money.
Ndio ilitolewa chang'ombe ambayo iliwekwa chini ya UDSMUDSM kuna diploma ya Education?
Kwa hiyo utaka kusema ni lile tangazo la dawa ya panya kunguni mende nakiroboto?Uzi hujasoma? 😹
Min tangazo limeeleweka, huyo mtoa post km ana shida ya kazi kulikuwa na umuhimu gani wa kusema km aliwahi kujiuza??Kwa hiyo utaka kusema ni lile tangazo la dawa ya panya kunguni mende nakiroboto?
Cheti huwa ni kimoja tu hawatoi cha pili, huo utaratibu iliouweka utakusaidia kupata statement of results only ambayo itakusaidia kuendeleq na elimu au kupata kaziHuu ni uongo.
Kwanza, kinachomata haswa ni index number ya kidato cha nne. Cheti huwa ni nyongeza tu baadae, hapa nazungumzia katika mchakato wa kuomba vyuo, nk.
Lakini pia, ukichoma cheti ama kukipoteza kwa bahati mbaya, utaratibu upo very clear. Omba loss report, andika barua kwenda NECTA, watakutengenezea cheti kingine.
Kudai ulitumia cheti cha mtu kwa sababu chako ulichoma ni upuuzi usio na mantiki.
Pole sana!! Kuna nafasi ya kuuza duka la spear za pik pik Kahama, utakuwa tayari?Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.
Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.
Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.
Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.
Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba
Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.
1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.
Asanteni.
Kwamba anaomba kazi ya kulinda vibunda ila kwenye cv kuna sifa ya wizi🤣🤣🤣🤣🤣Min tangazo limeeleweka, huyo mtoa post km ana shida ya kazi kulikuwa na umuhimu gani wa kusema km aliwahi kujiuza??
Hivi unaweza kuomba kazi ya ulinzi halafu ukasema uliwahi kuwa mwizi?? Akili kumkichwa
Huu mwandiko mbona kama wa braza K?Acha zako.
Hiyo ni emoji ya kucheka?
Hebu rudi kaangalie ni emoji ya nini
Acheni hizi mkuu walevi tumeshatoa msaada kitambo😁anadai alishawahi kuwa changudoa kwa miaka 6 hapohapo anakwambia anaweza kulea watoto kama yaya
Jumla ya hayo yote inakuja miss natafutwa... 😅😅😅Kujiuza, hotel management, ualimu, vyeti feki,,,,
Oyaaa mzeiya hapa kuna usalama kweli 😂😂😂 Mzee wa kupambaniaWee utanifaaa nicheki pm tuyajenge.
Tena lishangazi hili wala hana shida ya kupata kazi mie nipo tayari kumlea shangazi yeye anipe uno tuu. Inaonyesha kwa background yake ana experience yakutosha kucheza na vibamiaOyaaa mzeiya hapa kuna usalama kweli 😂😂😂 Mzee wa kupambania