Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Kuna mambo mengi hapo ya ku consider
Kwanza alikuwa anatumia vyeti feki hiyo ni laana, pili hiyo kazi aliipata kwa kuvua chupi na siku zote unapokuwa umepitia shortcuts maisha yako yatakuwa ya majivuno na kutotaka mahusiano mazuri na watu.

Kama mahusiano na watu hauna utapata je tena michongo? Kwa mwanamke akijiona ana muonekano wenye kuvutia ataingia kwenye kujiuza tu.
Duuh
 
Ni wewe au wamedukua account yako.. una mtoto wako wa kumzaa.. bado una mpango wa kupata watoto/mtoto..
 
Nimesikitishwa na mambo Mawili
1.Hali ya uchumi uliyopitia
2.Suala La kujiuza, But Why?
Sijui kwanini wanawake mind set zenu zimekaa hivi, yaani ukipata changamoto kidogo akili inawaza kujiuza tuu!
Kwanini hukuwaza hata kupika vitumbua hapo mtaani mtaji wa 20,000/= tuu ama kibiashara sokoni why kujiuza!
 
Ndoa Ikija upo 30 basi binti awe unaweza kujisimamia sio kwenda kumtegemea mwanaume
Kila binaadam, wa Kike na wa kiume wafundishwe/wakuzwe katika mlengo wa kuanza kujitegemea na kujipambania kiuchumi/kimaisha afikapo umri wa miaka 18.

Ndoa sio financial solution ya kijana wa kiume au wa kike, labda ukoo wako wawe ni wafuasi wa mila za waanzilishi wa mfumo mzima wa Ndoa (maslahi ya Nchi/Falme).

Jukumu la kujitafutia mahitaji yetu ya msingi Kama chakula, malazi na huduma za matibabu na vyanzo vya mapato linapaswa likumbushwe kwa watoto wanapoanza kubalehe ama kufikia umri wa kujitegemea wa miaka 18.
 
Nimesikitishwa na mambo Mawili
1.Hali ya uchumi uliyopitia
2.Suala La kujiuza, But Why?
Sijui kwanini wanawake mind set zenu zimekaa hivi, yaani ukipata changamoto kidogo akili inawaza kujiuza tuu!
Kwanini hukuwaza hata kupika vitumbua hapo mtaani mtaji wa 20,000/= tuu ama kibiashara sokoni why kujiuza!
Uko sahihi.

Haikua option ya mwisho aliyokua nayo, maana wamechukua vyeti na kazi/title lakini ujuzi alibaki nao, what happened?!

Na kama sasa anaona hiyo kazi ya matron wa nyumbani anaiweza kwanini hakupitia njia hiyo mwanzo?!?

No matter what happens, a woman’s body is never to be used for sale for sexual pleasures as it’s the Creators Vessel/Portal/Stargate for the Souls transitions here on Earth!

Dhambi kubwa unajitendea mwenyewe kuuza kiungo cha mwili wako kuwapa starehe wanaadamu(hayawani).
 
Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.

Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.

First of all nilikuwa muajiriwa serikalini na likapita suala la vyeti feki hapo nilikuwa natumia cheti cha mtu na kazi ikawa ndio basi.

Sababu nilipoteza wazazi ikabidi ile akiba niliyojiwekea kipindi nafanya kazi niitumie kwa ajili ya kumsomesha mdogo wangu ambae niliachiwa na wazazi pamoja na kununua kiwanja tu. Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi, ikabidi niingie kwenye kazi ya kujiuza.

Nilichokuwa nafanya ni kumuandalia mdogo wangu sare za shule na pesa ya matumizi usiku ili hata kama nitarudi asubuhi au kama sitarudi kabisa basi apate kujiandaa na kwenda shule (shule na nyumbani ni kama km 1 tu) mwenyewe.

Nilifanya hiyo kazi kwa miaka 6, nikapata pesa na kuanza ujenzi wa nyumba yangu ya kuishi pamoja na mdogo wangu.

Shida imeanza tena, nyumba haijakamilika na pesa zote nimemaliza na mdogo wangu mwaka huu anaingia kidato cha 3.
Sitaki tena kurudi kule nilipotoka (kujiuza). Nahitaji mdogo wangu akue bila kujua nafanya nini. Pia nahitaji kumalizia nyumba

Kama kuna mtu ana uhitaji wa mtu wa kufanya kazi naomba nipewe ajira.

1. Nina diploma ya Education niliyoipata pale UDSM kabla sijatumbuliwa.

2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu), Umri wangu ni miaka 42 na niko Morogoro.

Asanteni.
Umenikumbusha mbali saana.
Nimewahi kuishi morogoro miaka hiyo, siku moja Kuna kaka angu alikuwa anatokea Kagera ikabidi anipigie simu na kuniambia kuwa watalala morogoro kwahiyo niende msamvu kumsalimia maana ni muda mrefu tumepotezana.

Ikabidi nitoke chuko kwenye saa 4 hivi nikaenda msamvu, miaka hiyo kabla ya stend mpya mle ndani mlikuwa na Giza tu.

Ikabidi nijitembeze huku nje Kuna sehem flani yalikuwa yanapaki malori.

Aisee nikaenda sehem flani hivi ndo nikakuta wadada wanajiuza, nilikuwa sijawahi kuona hii kitu,ikabidi niende Kwa Mmoja hivi nikamsalimia nikumuuliza akaniambia ndio Yuko kwenye biashara.

Nikaanza kuchezea maziwa aisee alisukuma mkono akaniambia mpaka tuelewane kwanza.

Nikatoka kidog nikatokea sehem nyingine dah nilikuta Kuna gari ndogo la kifahari limepak alafu Kuna madada wawili wanakimbilia dirishani wamevaa madela aiseee, sikuamini kabisa mwili wangu ulijaa ganzi.

Baadae nikasema ngoja nitoke hapa isije nikaingia na kitu kibaya.

Ikabidi nipite kwenye uchochoro flani wa malori aaah bahati mbaya nikakutana na Teja ana kisu alafu akanipa mkwara alivoona natetemeka akaingiza mfukoni akachukua simu yangu.

Na akawa anataka na chenji nilizorudishiwa kwenye daladala duh.
***************************************

Stori yako inaumiza saana ila naomba usirudi kwenye kujiuza naamini mungu atakusimamia huyo ndugu yako atasoma na atamaliza.

Kama unaweza jaribu kuwatafuta watu ambao unaamin wanaweza kukusaidia walau kumsomesha mdog wako tu.

Huku ukiendelea kuangalia namna nyingine yakujikwamua
 
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
Kwa wasioelewa msongo huo upoje upoje wasome humu

 
Dada, ulikua unajiuza, na kwa bandiko lako hili, muda si mrefu utarudi katika kujiuza hata kama hupendi. Maana hakuna namna, hakuna mwanaume atakutafuta akusaidie kazi tu peke yake behind atakua na interest zake na hiyo ni kwa sababu umewapa past yako.
Miss Natafuta wewe kiboko ndio maana nikakwambia unapenda sana muwa
 
2. Nina uzoefu katika kulea watoto na pia ninajua sana upishi (nilisomea hotel management kabla sijaenda kusomea ualimu)
Sasa baada ya kuchomolewa ualimu kwanini hukutumia taaluma ya hotel kufungua goli la mamalishe au huko hotel management wanafundisha namna nyingine ya kuwapikia na kuwalisha wateja ndio ukatumbukia kwenye biashara ya kula miwa mikubwa twende midogo twende mradi hela inaingia miaka 6 miwa na wewe wewe na miwa haina kupumzika?
 
Back
Top Bottom