Ninapokuwa na mwenza wangu kitandani, mawazo na hisia huwa zinapotea, nifanyeje?

Ninapokuwa na mwenza wangu kitandani, mawazo na hisia huwa zinapotea, nifanyeje?

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Nna tatizo moja linalonisumbua kwa muda mrefu.

Tatizo lenyewe ni hili;

Ninapokuwa na mwenza wangu au wale wa kupita maeneo ya kitandani Mawazo na hisia zangu huwa zinapotea kabisaaa na hivyo kusababisha 'askari jeshi' wangu kubaki akiwa amelala na kujikuta vita vinamshinda. Na hata nikijaribu kuvuta hisia wapiii mambo yanagonga ukuta bila mafanikio.

Ila cha kushangaza, nikiwa mwenyewe nikianza kufikiria hisia zinakuja na askari husimama hali ya kuwa adui ameshaondoka.. Kiukweli ni aibu tena aibu.

Jamani naombeni ushauri wenu nini cha kufanya!? Najua tuna madokta humu ndani na wasio madokta lakin wenye mawazo yenye tija..

Please mawazo ni bora. Si jambo la ajabu kwa kuwa hili ni tatizo lililopo ktk kizazi cha karne hii. Tukumbuke kuwa "Kabla hujafa Hujaumbika". Leo kwangu kesho kwako..

Nasubir mchango wenu, nawapenda wote.

Asanteni wanaJF..
Leo kwako na kesho kwako ila sio milele,,utapona mwanangu ni ishu ndogo tuu,,Mungu atakusaidia
 
Kuna dawa za flani za kunywa za kimasai ni nzuri sana wewe uko WAP cz Mimi nilizipata maeneo flani hapa arusha kwa mama yeyo
 
Hilo ni tatizo la kujichua kwa muda mrefu.nakushauri uache kabisa hiyo tabia.usipende kukaa pekeyako.
 
nyeto izo.... au tofauti na apo ur practising gay secretly huo ni ugonjwa mkubwa sana unaoua feelings za vijana wengi bila kujua....siongei sana.

suluhisho la temporary nenda pharmacy nunua kidonge kinaitwa "erecto" gram 100 kabisaa meza saa moja kabla hajafika...mashine itakaza balaa na woga hautakuwepo na utamtomb.a vema sana...next time usitumie kdonge maana woga utakua umeisha...mimi ni mtoa ushauri wa rika najua vijana wengi wanapofeli now...zaidi niPM
I suggest the method, mimi ni mmoja wa waliokuwa wahanga wa hili tatizo ila kama huna tatizo lolote la kiafya ukitumia hii dawa lazima u do hata kama una hofu tani 100 unachotakiwa ni ku insert tu kunako upenyo.
 
Fafanua
 
Unameza kidonge kimoja saa moja kabla ya tendo ikigoma hiyo usisite kuamini uchawi upo.
 
Ila kutokana na maoni yenu nadhani ni hofu tu na mambo mengine.... Hizi dawa za kizungu mmmmh.! Km kuna solution nyingne plllzz nipeni nami ntafanyia kazi
Bad enough hakuna dawa ya kutibu tatizo lako la hofu si miti shamba wala ya kizungu.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Nina tatizo moja linalonisumbua kwa muda mrefu.

Tatizo lenyewe ni hili;

Ninapokuwa na mwenza wangu au wale wa kupita maeneo ya kitandani Mawazo na hisia zangu huwa zinapotea kabisaaa na hivyo kusababisha 'askari jeshi' wangu kubaki akiwa amelala na kujikuta vita vinamshinda. Na hata nikijaribu kuvuta hisia wapiii mambo yanagonga ukuta bila mafanikio.

Ila cha kushangaza, nikiwa mwenyewe nikianza kufikiria hisia zinakuja na askari husimama hali ya kuwa adui ameshaondoka.. Kiukweli ni aibu tena aibu.

Jamani naombeni ushauri wenu nini cha kufanya!? Najua tuna madokta humu ndani na wasio madokta lakin wenye mawazo yenye tija..

Please mawazo ni bora. Si jambo la ajabu kwa kuwa hili ni tatizo lililopo katika kizazi cha karne hii. Tukumbuke kuwa "Kabla hujafa Hujaumbika". Leo kwangu kesho kwako..

Nasubir mchango wenu, nawapenda wote.

Asanteni wanaJF..

Umri wako tu unakuhukumu, acha zinaa.

Binafsi sitoeagi ushauri kwa wazinzi hasa watoto.

Stoooooooooooooooooooppppppppppppp!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom