Ninasafari ya Thailand. Napokea order za mzigo wowote kutoka huko

Ninasafari ya Thailand. Napokea order za mzigo wowote kutoka huko

Habari wana jamvi?

Ninasafari ya kwenda Thailand hivi karibuni. Ninaomba order ya mzigo wowote unaohitaji kutoka kule hasa nguo.

Nitakuja na mzigo na kukuuzia kwa bei poa ya jumla.

Order plz!
Habari mkuu
Bado unachukua order?
 
Back
Top Bottom