Ninasanifu na kuchora ramani Za nyumba

Ninasanifu na kuchora ramani Za nyumba

david08606

Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
47
Reaction score
4
Wadau kwa anayeitaji ramani ya nyumba na usimizi wa ujenzi 2wasiliane kwa namba 0659497070 .angalieni attachment hapo chin
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375810044646.jpg
    uploadfromtaptalk1375810044646.jpg
    89.2 KB · Views: 177
Ramani ya kawaida vyumba 2+jiko+store+2balcon na kuset profile unafanya sh ngapi?
 
Napatikani dsm tabata. Kuchora ni maelewano tofauti na kusimamia na unaposema sh ngapi vi2 vingne ni maelewano na client na so siwez kusema sh ngap wakat hata cjafika site kwako.
 
Back
Top Bottom