D Dangerm Member Joined Aug 11, 2014 Posts 87 Reaction score 9 Aug 16, 2014 #1 Naomba msaada kama una namba ya simu ya mkuu wa shule nisaidie, kwa sababu namba yao ya kiofisi napiga hata haipokelewi.
Naomba msaada kama una namba ya simu ya mkuu wa shule nisaidie, kwa sababu namba yao ya kiofisi napiga hata haipokelewi.
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Aug 16, 2014 #2 Mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma Canada au Singapore wewe..
Mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma Canada au Singapore wewe..
D Dangerm Member Joined Aug 11, 2014 Posts 87 Reaction score 9 Aug 16, 2014 Thread starter #3 kigogo said: mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma canada au singapore wewe.. Click to expand... mkuu nimeomba namba ya cm..cjauliza kuhusu uchaw
kigogo said: mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma canada au singapore wewe.. Click to expand... mkuu nimeomba namba ya cm..cjauliza kuhusu uchaw
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,591 Reaction score 1,719 Aug 16, 2014 #4 Kigogo said: Mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma Canada au Singapore wewe.. Click to expand... Acha imani zako za kijima wewe.kama huwezi kutoa msaada piga kimya.
Kigogo said: Mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma Canada au Singapore wewe.. Click to expand... Acha imani zako za kijima wewe.kama huwezi kutoa msaada piga kimya.
D Dangerm Member Joined Aug 11, 2014 Posts 87 Reaction score 9 Aug 16, 2014 Thread starter #5 DIUNATION said: Acha imani zako za kijima wewe.kama huwezi kutoa msaada piga kimya. Click to expand... ni kwel mkuu bora akae kimya
DIUNATION said: Acha imani zako za kijima wewe.kama huwezi kutoa msaada piga kimya. Click to expand... ni kwel mkuu bora akae kimya