Ninashida na Mawasiliano ya St. Maurus chemichemi secondary Sumbawanga

Ninashida na Mawasiliano ya St. Maurus chemichemi secondary Sumbawanga

Dangerm

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
87
Reaction score
9
Naomba msaada kama una namba ya simu ya mkuu wa shule nisaidie, kwa sababu namba yao ya kiofisi napiga hata haipokelewi.
 
Mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma Canada au Singapore wewe..
 
Mtoto anaenda kujifunza uchawi huko ..hivi kwa nini unaona uvivu kumpeleka mtoto kusoma Canada au Singapore wewe..
Acha imani zako za kijima wewe.kama huwezi kutoa msaada piga kimya.
 
Back
Top Bottom