Mimi vivyo hivyo! Kama vile ignorelist haina limit ya majina!Mkuu HYGEIAmimi mwanzoni ilikuwa hivyo. Baada ya kuweka watu hao kwenye 'Ignore List', nasoma post ambazo zina tija na zinachangia mawazo, habari na kadhalika hata bila kujali mchangiaji ni wa chama gani. Huwezi kuamini jinsi Ignore list yangu ilivyo ndefu, natamani niibandike humu ili hao waliopo wajijue.
Kila nikilog in JF, jukwaa la kwanza kutembelea ni la Siasa. Jukwaa hili lina watu wenye mawazo zigzag na kama roho yako ndogo waweza kujikuta unatukana mtu matusi yote kwenye kamusi.Mwanzoni nilipata taabu sana, nikawaza: Ntaendelea kuumia mpaka lini? Ndipo kwa bahati nikasoma thread moja ya Dingswayo, inayoeleza juu ya ignore list na namna ya kuitumia.
Matumizi ya Ignorelist yamenisaidia sana kuondoa stress kwenye jukwaa la siasa maana wale wenye mawazo zigzag post zao zinafichwa! So good.
Unayesoma post hii hapa chitchat usijali haupo kwenye ignorelist yangu!
Au pengine mimi ndo nipo kwenye ignorelist yako?
Hiyo post ya Dingswayo ilitoka kwenye jukwaa la Complaints congrats and advice kitambo, kama mwezi wa tano hivi.nadhani hata nami utanisaidia kuipata hiyo post kwani nami ni muathirika pia
Hiyo post ya Dingswayo ilitoka kwenye jukwaa la Complaints congrats and advice kitambo, kama mwezi wa tano hivi.
Ila kama shida yako ni namna gani kuitumia ignorelist, maelezo ni rahisi: Yafuate hapa chini.
Kama thread za mtu zinakukera na hutaki kumsoma, fanya hivi: Kushoto kwenye id yake, click. Halafu itatokea view profile. Click hiyo view profile. ukifanya hivyo utapelekwa kwenye settings za huyo mtu. Kwenye settings, click add to ignore list halafu fuata maelekezo ili useme yes ama no. Basi hapo ladyfurahia hutakaa uone tena mabandiko ya huyo mtu; ni kama vile umemzika!
Kila nikilog in JF, jukwaa la kwanza kutembelea ni la Siasa. Jukwaa hili lina watu wenye mawazo zigzag na kama roho yako ndogo waweza kujikuta unatukana mtu matusi yote kwenye kamusi.Mwanzoni nilipata taabu sana, nikawaza: Ntaendelea kuumia mpaka lini? Ndipo kwa bahati nikasoma thread moja ya Dingswayo, inayoeleza juu ya ignore list na namna ya kuitumia.
Matumizi ya Ignorelist yamenisaidia sana kuondoa stress kwenye jukwaa la siasa maana wale wenye mawazo zigzag post zao zinafichwa! So good.
Unayesoma post hii hapa chitchat usijali haupo kwenye ignorelist yangu!
Au pengine mimi ndo nipo kwenye ignorelist yako?
hahahahahahah. ukiwa kule mapigo yako ya moyo yanatakiwa kuwa chini.
Hapana Ruttashobolwa! Ukiwa kule, mapigo ya moyo yatakuwa chini iwapo umeyaweka mandege joni kwenye ignorelist. La sivyo, presha tupu ndugu yangu.hahahahahahah. ukiwa kule mapigo yako ya moyo yanatakiwa kuwa chini.
Mamndenyi bwana! Binadamu wengi hatujafikia huo umalaika. Kule siasani wallahi hujakutana na............. Ananitoaga nyongo kwa mawazo yake yaliyojaa kunguni! Yeye ndo wa kwanza kwenye ignorelist yangu!I cant ignore anybody. Kule siasani ni kipimo cha ukomavu na utambulisho wa how u can digest makitu mazito.
Ila akina Invisible,wangeboresha ignore list ili mtu usione kabisa post ya mtu ulomu ignore,tofauti na sasa,ambapo unaona post,"XYZ is on ur ignore list,click here if you want to read ths post"[/QUOTE] Myakubanga, hiyo option unayopewa na system iko kwenye discretion yako. Huenda pengine ushabadilisha mawazo kuhusu huyo ulomweka kwenye ignorelist.
Kwa jinsi ignorelist ilivyo mpaka sasa sina tatizo nayo; it's perfect!
Mamndenyi bwana! Binadamu wengi hatujafikia huo umalaika. Kule siasani wallahi hujakutana na............. Ananitoaga nyongo kwa mawazo yake yaliyojaa kunguni! Yeye ndo wa kwanza kwenye ignorelist yangu!
Hata mie naona hivyo@njiwa.Ignorelist is a must here at JF.rutta una list na weye
Hiyo ni bahati yako Mamndenyi. Sisi wengine hatuwezi kuilalia mlango wazi. Yupo mmoja yaani anatukana hata mamods!HYGEIA mie walikuwa wananitukana lakini na mie siku hizi nawaelewa so tunakwenda sawa tena pasi na ugomvi wowote ule,
tena yule tuliyekuwa hatuelewani kwa sasa ndiye rafiki yangu mkubwa sana.
Kila nikilog in JF, jukwaa la kwanza kutembelea ni la Siasa. Jukwaa hili lina watu wenye mawazo zigzag na kama roho yako ndogo waweza kujikuta unatukana mtu matusi yote kwenye kamusi.Mwanzoni nilipata taabu sana, nikawaza: Ntaendelea kuumia mpaka lini? Ndipo kwa bahati nikasoma thread moja ya Dingswayo, inayoeleza juu ya ignore list na namna ya kuitumia.
Matumizi ya Ignorelist yamenisaidia sana kuondoa stress kwenye jukwaa la siasa maana wale wenye mawazo zigzag post zao zinafichwa! So good.
Unayesoma post hii hapa chitchat usijali haupo kwenye ignorelist yangu!
Au pengine mimi ndo nipo kwenye ignorelist yako?
mkuu humu cc kuna warembo hawatongozeki vipi nawaingizaje kwenye ignore list maana kila nikona post zao roho inalia paaaaaaaaaaaaaaa
cc ladydoctor na ladyfurahia
Halo Bishanga. Ni hivi: Wadada hawawekwi kwenye ignorelist; kwenye ignorelist yangu hakuna hata nusu mdada. Hawa wadada ni kuwa-PM tu 24/7. Na ushauri zaidi ni kwamba hawa wawili ladydoctor na ladyfurahia usiwasogelee; ni mizinga yenye nyuki tayari! Utang'atwa!!!!!mkuu humu cc kuna warembo hawatongozeki vipi nawaingizaje kwenye ignore list maana kila nikona post zao roho inalia paaaaaaaaaaaaaaa
cc ladydoctor na ladyfurahia