Halo
Bishanga. Ni hivi: Wadada hawawekwi kwenye ignorelist; kwenye ignorelist yangu hakuna hata nusu mdada. Hawa wadada ni kuwa-PM tu 24/7. Na ushauri zaidi ni kwamba hawa wawili
ladydoctor na
ladyfurahia usiwasogelee; ni mizinga yenye nyuki tayari! Utang'atwa!!!!!