MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kazi ya upinzani ni kuleta balance kwenye kuiendesha nchi (checks and balance) ila ninasikitishwa sana na jinsi upinzani wetu ulivyo dhaifu na usiojitambua kabisa. Wanaachaje kuijadili dira ya taifa badala yake kumjadili Mbowe aliyehudhuria uzinduzi? Acha tu CCM iendelee kuongoza kwa sababu bado mbadala wake haujapatikana.
Hao watu wenye akili tunaoambiwa wako CHADEMA ndo hawa waliofungua nyuzi kumshambulia Mbowe? Upinzani wenye akili leo wangekuwa bize kuijadili hata kukosoa dira iliyozinduliwa na sio kumjadili mtu. Ni aibu kwa taifa kuwa na vyama vya upinzani kama hivi vilivyopo