MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kama mnataka kweli maendeleo yaonekane kwenye hii nchi, kwa nini hamtaki uwepo wa tume huru ya uchaguzi? Kwa nini miaka yote mnataka makada wa chama ndiyo wasimamie na kuwatangaza washindi?Kazi ya upinzani ni kuleta balance kwenye kuiendesha nchi (checks and balance) ila ninasikitishwa sana na jinsi upinzani wetu ulivyo dhaifu na usiojitambua kabisa. Wanaachaje kuijadili dira ya taifa badala yake kumjadili Mbowe aliyehudhuria uzinduzi? Acha tu CCM iendelee kuongoza kwa sababu bado mbadala wake haujapatikana.
Hao watu wenye akili tunaoambiwa wako CHADEMA ndo hawa waliofungua nyuzi kumshambulia Mbowe? Upinzani wenye akili leo wangekuwa bize kuijadili hata kukosoa dira iliyozinduliwa na sio kumjadili mtu. Ni aibu kwa taifa kuwa na vyama vya upinzani kama hivi vilivyopo
Ndio zao la lissu na matapeli wenzie kina lemaKazi ya upinzani ni kuleta balance kwenye kuiendesha nchi (checks and balance) ila ninasikitishwa sana na jinsi upinzani wetu ulivyo dhaifu na usiojitambua kabisa. Wanaachaje kuijadili dira ya taifa badala yake kumjadili Mbowe aliyehudhuria uzinduzi? Acha tu CCM iendelee kuongoza kwa sababu bado mbadala wake haujapatikana.
Hao watu wenye akili tunaoambiwa wako CHADEMA ndo hawa waliofungua nyuzi kumshambulia Mbowe? Upinzani wenye akili leo wangekuwa bize kuijadili hata kukosoa dira iliyozinduliwa na sio kumjadili mtu. Ni aibu kwa taifa kuwa na vyama vya upinzani kama hivi vilivyopo
Chadema imekataliwa na kila mtu mwenye akili timamu.Kazi ya upinzani ni kuleta balance kwenye kuiendesha nchi (checks and balance) ila ninasikitishwa sana na jinsi upinzani wetu ulivyo dhaifu na usiojitambua kabisa. Wanaachaje kuijadili dira ya taifa badala yake kumjadili Mbowe aliyehudhuria uzinduzi? Acha tu CCM iendelee kuongoza kwa sababu bado mbadala wake haujapatikana.
Hao watu wenye akili tunaoambiwa wako CHADEMA ndo hawa waliofungua nyuzi kumshambulia Mbowe? Upinzani wenye akili leo wangekuwa bize kuijadili hata kukosoa dira iliyozinduliwa na sio kumjadili mtu. Ni aibu kwa taifa kuwa na vyama vya upinzani kama hivi vilivyopo
Tanzania aliondoka nayo Nyerere, hawa wite na dira za uongo hizi, basi tuvumilie tu hapa duniani. Watu laghai kama JK ndiyo wameshika hatam halafu ati kuna dira!!!Kazi ya upinzani ni kuleta balance kwenye kuiendesha nchi (checks and balance) ila ninasikitishwa sana na jinsi upinzani wetu ulivyo dhaifu na usiojitambua kabisa. Wanaachaje kuijadili dira ya taifa badala yake kumjadili Mbowe aliyehudhuria uzinduzi? Acha tu CCM iendelee kuongoza kwa sababu bado mbadala wake haujapatikana.