unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 476
Hapana, nipe majina yake. Ila nimesema workshop na si gereji. Hivi ni vitu tofauti. Garage i ndani ya WorkshopHapo dar mbona Garages mingi sana kijana au unataka za kuvaa tai shingoni?.
Tafadhali na mm nina mdogo wangu anapenda hiyo degree, ni chuo gani kinaitoa hiyo program ?Hello everyone! Ninasomea uhandisi magari, ni wapi kwa hapa Dar naweza kufanya field au kujitolea?
Nina maana ya workshop ya magari au yard! Ahsanteni!
Ni mdogo wangu[emoji115][emoji115] ana tabia njema na ni mchapakazi.
TekuTafadhali na mm nina mdogo wangu anapenda hiyo degree, ni chuo gani kinaitoa hiyo program ?
Tafadhali na mm nina mdogo wangu anapenda hiyo degree, ni chuo gani kinaitoa hiyo program
🤣🤣🤣Sawa mkuuTeku
Kwenye hizi fani za ufundi nakushauri nenda tazara kuna kitu utajifunza kule (spana ikae mkononi)Hello everyone! Ninasomea uhandisi magari, ni wapi kwa hapa Dar naweza kufanya field au kujitolea?
Nina maana ya workshop ya magari au yard! Ahsanteni!
Ni mdogo wangu[emoji115][emoji115] ana tabia njema na ni mchapakazi.
Ni wapi kwa hapa Dar? Location zao!Mpeleke Toyota au suzuki
Uwe unakaa kimya ikiwa hujui kitu.Nenda hata Kwa wale wauza na kununua vyuma chakavu ni mule mule
Bima,kiwalaniNi wapi kwa hapa Dar? Location zao!
NIT, Dar Es Salaam!Tafadhali na mm nina mdogo wangu anapenda hiyo degree, ni chuo gani kinaitoa hiyo program ?
Ahsante sana!Bima,kiwalani
Bima na Kilawani ni mbali kutoka Mabibo Mwisho? Vipo wilaya gani? Ilala au Kinondoni?Bima,kiwalani
Mimi sio mwenyej darBima na Kilawani ni mbali kutoka Mabibo Mwisho? Vipo wilaya gani? Ilala au Kinondoni?
Ooh ahsante sana.Mimi sio mwenyej dar