unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 476
Hello everyone! Ninasomea uhandisi magari, ni wapi kwa hapa Dar naweza kufanya field au kujitolea?
Nina maana ya workshop ya magari au yard! Ahsanteni!
Ni mdogo wangu[emoji115][emoji115] ana tabia njema na ni mchapakazi.
Nina maana ya workshop ya magari au yard! Ahsanteni!
Ni mdogo wangu[emoji115][emoji115] ana tabia njema na ni mchapakazi.