Habari wana JF poleni na majukumu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili hali bado ipo vilevile mpaka imefikia mahala hamu hata ya tendo la ndoa sina kabisa.
Sababu ya tatizo nahisi nikazi ninayofanya yakubeba vitu vizito nakuchimba mashimo nimejitahidi kutafta kazi nyingine nimekosa ila kwassa naomba msaada wanamna ya kutatua hili tatizo lakiuno natanguliza sana- shukra nizangu asanteni.