Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno

Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno

Fanya mazoezi ya kutembea juu ya kokoto kila siku kwa muda usiopungua robo saa
 
Huu ugonjwa mimi unanisumbua sana kwa sasa. Kazi yangu ni uvuvi na wala siyo ya kubeba vitu vizito. Nimeshatumia dawa za hospitalini mpaka tosha. Sasa hivi nipo napambana natumia dawa za asiri. Kazi imekuwa ngumu sana na kuna kitu kinanipa wakati mgumu sana. Kwenye uume wangu vinatoka vitu vyeupe kama makamasi na havina harufu yoyote. Nimepima magonjwa ya zinaa lakini matokeo ni hasi. UTI nimepima hakuna. Nimepigwa picha ya mionzi naambiwa mifupa iko sawa. Mpaka najiuliza hivi nimerogwa ama. Kukaa hakuna shida wala kulala na uchuchumaa. Shida ni kusimama na kutembea. Toka pasaka nasumbuliwa na huu ugonjwa
Tuwasiliane
 
Habari wana JF poleni na majukumu.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili hali bado ipo vilevile mpaka imefikia mahala hamu hata ya tendo la ndoa sina kabisa.

Sababu ya tatizo nahisi nikazi ninayofanya yakubeba vitu vizito nakuchimba mashimo nimejitahidi kutafta kazi nyingine nimekosa ila kwassa naomba msaada wanamna ya kutatua hili tatizo lakiuno natanguliza sana- shukra nizangu asanteni.
FANYA VIPIMO VYA MIFUPA KUONA NYONGA NA UTI WA MGONGO KAM VKO SAWA. KAMA HAVITAONESHA TATIZO PIMA FIGO. ALAFU URUD NA MREJESHO
 
Habari wana JF poleni na majukumu.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naombeni msaada ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno sana mpaka kuna muda kukaa siwezi nikisimama dakika kumi siwezi nakulala nako pia kunamda nikipengele naombeni msaada wenu, nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za asili hali bado ipo vilevile mpaka imefikia mahala hamu hata ya tendo la ndoa sina kabisa.

Sababu ya tatizo nahisi nikazi ninayofanya yakubeba vitu vizito nakuchimba mashimo nimejitahidi kutafta kazi nyingine nimekosa ila kwassa naomba msaada wanamna ya kutatua hili tatizo lakiuno natanguliza sana- shukra nizangu asanteni.
Pole sana.Nashauri pima x ray kuangalia pingili kama ziko sawa,ili huko mbeleni usije shindwa amaka (kusimama )kabisa. Pia tibia vidonda vya tumbo, UTI kama unaumwa
 
Back
Top Bottom