Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 748
Fungus zako zipo miguuni na mikononi, unafanya kazi gani. Coz kama unafanya kazi za majimaji hata utibu still utaendelea kuapata tatizo. Fungus ili irespond vizuri lazima uepuke majimaji na viatu uvae na soksi za cotton ili kusudi ziwe zinaabsorb jasho. Pia kabla ya kuvaa viatu paka miguu poda na antifungal cream. Kama mazingila unayotembelea hatuhitaji viatu then most of the time vaa open shoes.
Mikononi paka dawa kama ulivyoelekezwa na Dr lakini mida ile ambayo huitaji kupaka dawa paka mafuta ya mgando itakusaidia. Lakini ni muhimu sana kuepukana sana na majimaji coz ubichi ni chanzo cha fungus.
Pale Muhimbili yupo Dr Shemwela na Dr Mgonda hawa ni dermatologists watakusaidia. Sikushauri uende dispensary coz huko utawakuta Amo na Co si dhani kama watakuwa msaada sana. Nenda hospitali, Bungando pazuri ila ulizia kama kuna specialist wa ngozi. Pole sana mkuu