Ninatabiri anayefuata ni Manara, kisha Morrison kabla msimu haujaisha

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Pamoja na usomi wa Rais wa utopolo, nimegundua anafanya vitu kwa nguvu ya pesa na uswahili mwingi ambao sio muda mrefu utawagawa sana wachezaji.

Zipo dalili za wazi kuwa kuwa watu hao wataondoka ama kwa aibu ama kwa hiari kabla ya msimu kwisha.

Manara karma itakuhukumu, Morrison gundu litakuandama kwa kuwasumbua waliokulea kama yai na bado huwaheshimu. Sasa umeingia kwenye mtego na utanaswa tu
 
Wewe chuki na wivu wa kike ndo vinakupelekesha una lolote, Umebaki kugeuka mtabiri umekuwa Mwamposa? Umeshindwa kutabiri yanayotokea kwenye timu yako umebaki kuwa Kama fisi anayemfata binadamu akifikili mkono wake utakatika ajipatie mlo wake? Ujinga ni mzigo kweli
 
Wewe ni Manara?
Au wewe ni Morrison? Tulia dogo, kama unabii kuhusu kuondoka kwa Senzo umetimia kwa nini humuheshimu nabii mpakwa mafuta wa jf?

Nabii hoyeee!
 
Ushabiki wa Kipumbavu namna hii tumeuchoka JF.
 
Naomba uijie dawa ya constipation kwani mavi yanakusumbua
 
Unapozungumzia wivu wa kike usisahau mama yako pia ni mwanamke
 
Ushabiki wa Kipumbavu namna hii tumeuchoka JF.
Nawaandikia washabiki wa ile timu ambayo msemaji wao aliwatambua kama wapumbavu wote isipokuwa watu wawili tu.
Sasa unatarajia nini kama sio kuukubali tu huu upumbavu ili stori I balance
 
Morrison anadai pesa zake hajamaliziwa yeye na aucho wakati huo funguo kapewa hela zote za usajili ila wengine wanadai hyo ndo super ben.
 
Vipi kuhusu Moo na Barbara! Na wenyewe wataondoka lini? Maana na wenyewe wanaiendesha timu yenu kijanja janja tu!

Wakiulizwa zilipo bilioni 20, wanawatuma nyinyi chawa wao kuja kutukana tukana hovyo humu jukwaani.
 
Vipi kuhusu Moo na Barbara! Na wenyewe wataondoka lini? Maana na wenyewe wanaiendesha timu yenu kijanja janja tu!

Wakiulizwa zilipo bilioni 20, wanawatuma nyinyi chawa wao kuja kutukana tukana hovyo humu jukwaani.
Lipeni madeni ya wachezaji vinginevyo tulieni dawa iingie.Ukitikisika tu sindano itakatikia
 
Kutangaza kutokugombea kwa msola sekunde za mwisho, injinia kumfanyia kampeni na kumpiga madongo mgombea mmoja kulinipa alart ya kwamba kuna vifukuto ndani kwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…