Ninatafuta fundi simu mwenye ofisi. Nataka nijifunze kutengeneza

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Heshima kwenu wakuu.

Ninatafuta fundi simu (mwenye ofisi).

Nataka nijifunze kutengeneza simu (smart android na viswaswadu).

Malengo yangu ni kufungua ofisi ya kuuza simu na vifaa vyote vya simu. Hivyo nataman sana kujua kutengeneza simu ili kama nitakaa mim ofisin nisiwe nakaa bure.

Fundi nitamlipa vizur sana. Muda nitakaopata wa kujifunza ni jion kuanzia saa kumi na kuendlea.

Mahali: Dsm Ubungo.
 
Umelielewa tangazo la wazkri mkuu. Hongera, wengine bado wanajiuliza uliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…