Exactly Madam inaleta ile hali ya ownership kwa kila mmoja kwenye hiyo meetigBring a bottle sio
Unaweza ku modify kwa hali ya uchumi host anaweza kuandaa chakula then waaalikwa wanakuja na drinks mbali mbali.
Naona kwa mbali Usalama wa meza ya bwana unawekwa rehaniWawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
watafute hawaWawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
Sidhan kama itakuwa exclusivity ya genderMkumbushe kumodify kuhusu kama ni mchanganyiko gender!
Mim kaz sina ko hata nikijiunga kwangu mkija sina cha kuwapa zaid ya maji nikiazima kwa jilani lakin kama mkinipa kaz hata ya ugadener nipo teariWawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
Asee karibu huku kwetu kuna machalari yakotosha wali na vinywaji kama mbege vipo karibu sana MkuuWawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.