St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Wanakuja
huu si ndio ubaguzi wenyewe?!!!Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
Hii ndio ilikuwa JF ya zamani.Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
Sisi tufanye ile yetu, ila hakuna kukutania kwa mtu...
Maana wengine tuliopanga chumba kimoja siyo rahisi kuwaweka wote pamoja kwenye chumba.
Mwisho wa reli (Tanganyika) mtakuja, au mipaka (geographycal) ya huo urafiki ni ipi Sky Eclat?Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
Akina nani?Wanakuja
Akina nani?
Sema kwako tuje lini [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23Akhuu kwangu haji mtu tutakutana jf tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha sana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndiwo niko zangu nanjilinji uku kwenye kichumba changu kimoja yani ni kistore kila kitu ndani mtu wa jf akuje aniwekee bango mana jf wote matajiri na wamejenga kasoro shunie mm tu sitaki matangazo tuendelee kuonana jf yatosha zaidi